Hongera Sana.To be Honest Mwezi wa Mei Nategemea Kufunga Ndoa Zanzibar! Yani itakuwa ni zaidi ya Ndoa tutabeba ubingwa katika mwezi huo
Goli la 4 kafunga Mtu Mkubwa sana kwa upande wangu πππ
Kuna watu wanatafutwa humu nadhani n ngwaba na mosdef
Mkuu mathna au ndo u naanza?To be Honest Mwezi wa Mei Nategemea Kufunga Ndoa Zanzibar! Yani itakuwa ni zaidi ya Ndoa tutabeba ubingwa katika mwezi huo