Baba ebu rudia hapo. Assist ya naniiii?Hatimae Liverpool 1_wolv 0
Salah.........kafunga assist ya fabinho
Hili jamaa linakubali sna wanaligeuza geuza sanaaLovren kama simuamini hivi
naona una furaha sana ila game bado mbichi na chama la wana linaonesha uhai sana bado karata yangu naitupa kwa wanangu wolvesTayari tumeshachapwa 1