Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbona Bundi anatuvizia Kwa Nguvu zote!!!!!

Matip injured??

Joel Matip was sent to hospital to undergo tests on a shoulder injury following Liverpool's Champions League triumph over Napoli at Anfield
 
My worries
Vvd suspended next round, and all potential opponents wanatisha
Gomez, Trent, matip,clyne, out injured againts manure... Tumeanza kuwa hit na December curse

Milner will play as a right back mpaka,Trent awe fiti

Matip will be OK
 
My worries
Vvd suspended next round, and all potential opponents wanatisha
Gomez, Trent, matip,clyne, out injured againts manure... Tumeanza kuwa hit na December curse

Mkuu uefa inaendelea mpaka mwezi wa pili,labda vvd kwa ajili ya card,gomez January 23 anarudi.
 
Mkuu mbona unapenda ligi?
 
duh kuna majitu leo yatamsifia klopp kwa nguvu zote hawa ni maplastic fan....ngoja yapoteze yatakuja na slogan yao ya tumepoteza kwa uzembe wa kocha
 
Mkuu huu ndo uzembe mdogo mdogo wa klopp tunao ukataaga watu huwa hawaelewi kua kwnn kunamuda tunampinga

Na waelewe hakuna mtu alie sema sentesi hiz zifuatazo
- kLOPP OUT
- KLOPP NI KOCHA MBAYA

ila huwa tuna pinga baadhi ya vikosi vyake ktk game za maana
 
Salah slows down, he needs no assistance.Ooh Salah is in.Is Liverpool score in a sensational goal in the champions league.
It is a big Europe night
Liverpool one Napoli nill.
Mtangazaji kapagawa.
Ulikuwa usiku mgumu sana kwangu. Nimeangalia game replay. Hongera Liverpool.
 
Sevilla???
Inter milan anakujaaa
Napoli anakuja
Galatasaray anakuja

Wagen pia leo wataongezeka huko
 
duh kuna majitu leo yatamsifia klopp kwa nguvu zote hawa ni maplastic fan....ngoja yapoteze yatakuja na slogan yao ya tumepoteza kwa uzembe wa kocha

Hivi wewe Iron Fan nikuulize:

• Timu inepoboronga tufanyeje?
1) Tukosoe Sera za kocha na Wachezaji √
2) Au Tusifu Sera za Kocha na Wachezaji kwa kupoteza mchezo √

• Timu inaposhinda tufanyeje?
1) Tushangirie ushindi kwa kusifu kocha amekuja na mbinu za kushinda √
2) Tulaumu kocha kwa Kushinda mechi √
 
Yani tunapigia Mbuzi Gita tu hapa!
Jamaa ameshikilia na Msimamo wake:

1) KLOPP OUT
2) KLOPP KOCHA MBOVU

Yani Ni yeye tu humu JF ndiye anayetusikia tunasema KLOPP OUT
 
Hongereni watani
Tukutane tena jpili na mzee mou
Alikuwa akilifuatilia sana game hii ya jana
 
Kwa siku za hivi karibuni Mo kila akifunga goal hashangilii, sijajua kwa nini. Labda sababu ni kazi yake. Kapiga hatrick dhidi ya Bounemouth lakini hakushangilia. Jana kafunga goal ambalo lilikuwa ni muhimu sana laki hakushangilia.
 
Alishangilia na alisujudu kushukuru !
 
Jamani hivi kama Mane anacheza kwa nini Sturridge nae asiwe anacheza? Kweli mtu unakosa nafasi mbili za wewe na kipa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…