OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Wewe kama ulishindwa kuifunga Man united unadhani Liverpool ndo ataweza? Mou hawezi kukubali kizembe tu Kumaliza raund ya kwanza bila kushinda big match hata moja. Mou ni kocha mwenye maajabu sana ..lazima atamkalisha na kumpakata klopp..Manyua siipend maana wana kelele na kocha wao mou
Katikat waliposhinda ,mou akasema top 4 uhakika, walipokosa matokeo mech 3, akadai top 4 ngumu, jana wamempiga fulham ,tayar kelele zimizid,
Halafu wanakauli yao chafu, wanadai hata wawe wabovu vip, liva na arsenal hatuwafung,
Sasa juz wamepata droo wameshangilia kama wameshinda, now wanatamba wanaenda kumfunga liva
Wakat ukweli unajulikana man u hana bek ya kuizuia liver, na mou hajawahi kwenda anfield kutafuta ushind zaid ya sare,
Kingine, wakishanusa top 4 ,kelele zitarud, hivo naiombea liva ampige manyua tena kipigo kikubwa,
Soon atarejea nafas ya 10 ,manaa westham, everton na bmouth wanamvizia wamuweke nyuma yao, na hiyo ndio nafas inayowafaa
Kipigo kipo pale pale ..Napoli rasmi anawaleta Europa.Napoli Anafia hapa
4-2-3-1
salah
mane firmino shaqir
gin fabinho
robertson vvd matip TAA
alison
Mbona mnateseka sana na liverpool, Napoli leo anapakatwa vizuri tuu. Robertson bora afie uwanjani kuliko kufungwa leoKipigo kipo pale pale ..Napoli rasmi anawaleta Europa.
Mimi nina uhakika Man united lazima watawakalisha.
Tena asiwepo kabisa...Yule Ni mpenzi mtazamaji
Wewe kama ulishindwa kuifunga Man united unadhani Liverpool ndo ataweza? Mou hawezi kukubali kizembe tu Kumaliza raund ya kwanza bila kushinda big match hata moja. Mou ni kocha mwenye maajabu sana ..lazima atamkalisha na kumpakata klopp..
Timu ambazo hazichezi j4 na j5 zinafujo sana sijui kwanin ????
Timu yako kama inacheza alhamis si utulie ungoje wanaume waanze j4 na j5 hata kwenye mtungo mbabe ndio huwa anaanza
Napoli Leo anaua panya aitwae Liverpool
Haha kumbe mkuu sikukosea kabisaa ni sahihiKwenye Kabila la Wanyaturu (Singida) Huwa Wanakula Wanaume Mwanzo Ndiyo Wakafata Wanawake
Kwahiyo wa Futuhi ni Wanawake tu wanaosubiri mpaka tutangulie sisi Wanaume kwenye Mapambano
Haha kumbe mkuu sikukosea kabisaa ni sahihi
leo ndio leo lazima Majogoo wanfanye yao na kusonga mbeleAnfield si mahali salama Mkuu! Kesho Napoli anachinjwa kama kinda la njiwa bila huruma.
Goals 4 plus....
Uendelee kunya tu pia usisahau kuzoaGudluck Liverpool's fans vs napoli
Mm nitakuwa nakunya Glass yang ya wine nikisubiri Alhamis ..
Bado nashekerekea kipigo nilichompa city
Mkuu ina maana kwa mtazamo wako hao gooners ni zaidi ya Liverpool...Wewe kama ulishindwa kuifunga Man united unadhani Liverpool ndo ataweza? Mou hawezi kukubali kizembe tu Kumaliza raund ya kwanza bila kushinda big match hata moja. Mou ni kocha mwenye maajabu sana ..lazima atamkalisha na kumpakata klopp..
utakua umekutana na mashabiki wa aseno na chelsi humu hawachezi mbali hapa hivyo usishangae...Nahisi harufu ya europa humu
Agreed... But not tonight sirHa ha ha ha ha ha He can be our squad player bro because we have FA and next season Carabao
poleNapoli Leo anaua panya aitwae Liverpool