Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Grujic bado majeruhi...Klopp ni ngumu kumwelewa kuhusu hawa makinda...hata hivyo hata Keita, Fabi, Shaqir kupangwa nako ndio vile je hawa makinda ndio kabisaaaaa....
 
Napita tu kuwafahamisha sare inawahusu leo
Mangi unapita baada ya kuongoza West London Derby aaaa haya bana....usikimbie bana ukifungwo aisee tatizo mlijiamini sanaaaa na huyo Jorgino wenu....
angalau sasa mmetulia maneno kwishenieee...
 
Anae angalia gemm ya chelsea na fulham oneni tofauti kocha hii ni gem ya pili tu
 
Gap la point 5 limepunguza wapambe wa chelshit hum na story za joginho
Izo point mbona chache sana. Kwanza ligi hata first raund bado haijakwisha, uefa kule unachechemea ..kombe pekee unalotegemea kushindana ni FA tu ..
 
Mkuu

Chelsea ninauhakika watapotea zaid ya hapo time will tel maan wakikutana na kiungo mwenye uwezo wa kumkaba vzr joginho basiii kwisha kaziii
Kama wewe unavyozid kupoteza uefa. Hesabu msimu mwingine tena wa klopp kutoka kapa...
 
Napita tu kuwafahamisha sare inawahusu leo

Izo point mbona chache sana. Kwanza ligi hata first raund bado haijakwisha, uefa kule unachechemea ..kombe pekee unalotegemea kushindana ni FA tu ..

Baada Ya Kupakatwa na Spurs Mulipotea Wiki Nzima na Vistats Vyenu Uchwara, Hatimae Leo Mumeamua Kuibuka Baada Ya Kumfunga Maiti ambaye tayari Amesharudi Championship.

Man City Ndiye atakayekuja Kuwakimbiza tena hapa.
 
Henry Wilsson ni Kewel au Balle yupo moto sana

HW Ni Mzuri lakini sioni kuwa Anafuture Yoyote Ndani Ya Liverpool! Ataendelea Kutolewa Kwa Mkopo na Mwishowake atauzwa.

Hii Ni Kutokana na Na Uwepo Wa Mane, Salah na Firmino utalimit game time Yake.

Na iwapo Brewster ata-adapt na Kuperform well ndiyo kabisa Wilson hatofanikiwa Ndani ya Liverpool.
 
Hawachoki hao kina mane kila siku wao hata ndogo?
 
XI vs Evance
Allison .Arnold .VVD .Gomez. Robertson .Fabinho .Wijnaldum . Shaqiri. Salah .Mane .Firmino
Substution
Mig. Matip. Moreno. Sturridge. Milner. Origi . Keita
No excuse kwa leo
 
Huu uzi wa mwaka 1998/2000 nilikuwa naupenda sana na nilinunua japo nyie ni maadui zangu balaa hasa ile combination ya michael owen na abubakar titi camara nyuma yao alikuwa mnyama patrick berger wakat huo rigobert song alikuwa akicheza nne japo hakuwa na namba ya kudumu.
 
XI vs Evance
Allison .Arnold .VVD .Gomez. Robertson .Fabinho .Wijnaldum . Shaqiri. Salah .Mane .Firmino
Substution
Mig. Matip. Moreno. Sturridge. Milner. Origi . Keita
No excuse kwa leo

Ikiwa tutacheza Formation ya 4-2-3-1 basi sitokuwa na Chakumlaumu Klopp katika Kikosi Cha leo Hata tukifungwa as long as Hatachelewesha Kufanya sababu sahihi iwapo Mambo yatakwenda Kombo.

Nimependa Kikosi Cha leo! Sina Cha Kulaumu.

√ 3 Points Ni Muhimu Kwa Leo
√ Clean Sheet Ni Muhimu Kwa Leo


#YNWA
 
Wacha Niwahi Masjid Mdogo mdogo Nikaswali ili Nije niitazame Game Kwa Amani Kabisa

Yani Fujo langu lote Kwa Klopp basi Nadissolve Akipanga Kikosi tu Nakuwa Sina Maneno kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…