Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

uki

ukichanganyikiwa unaweza kuongea mengi sana mpaka yasiyokuwepo hivi vipigo viwili vya psg na zuwenazubeda vimewapa hali ngumu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mkuu nenda kashabikie butua butua fc huko maurine si bado yupo?
 
sasa 2-1 kipigo cha aibu?......

basi km ni hivyo, man utd walifanyweje na barça?......

maana mpk babu alitetemeka!!
 
Eeeh Mola jalia huyu klopp leo aamke na akili nzur ili atuwekee mido zetu za maana Fabh keita na shaqir.

Kwan Mancity had sasa imetupiga gap la Points 5 hivyo mechi ya leo ni ya muhimu kushinda. Amen
 
Fabinho: mchezaji wa tatu anayelipwa ghali kuliko wote Liverpool chini ya MO Salah na VVD lakini hatumiki sawasawa na bei yake, what a waste of resources
 
Fabinho: mchezaji wa tatu anayelipwa ghali kuliko wote Liverpool chini ya MO Salah na VVD lakini hatumiki sawasawa na bei yake, what a waste of resources
Huyo fabinho ni mwepesi, pale mlipoteza hela, bora mngemchukua ile DM ya watford ,

Fabinho mkimuweka , soon mnaporomoka , yule ni type ya kina bakayoko
 
ni
Huyo fabinho ni mwepesi, pale mlipoteza hela, bora mngemchukua ile DM ya watford ,

Fabinho mkimuweka , soon mnaporomoka , yule ni type ya kina bakayoko
lilisema hili kitambo mkuu................waache wajifurahishe yaani huyu fabinho walizuzuka na hii NHO wakajua itakuwa type ya kina COUTINHO, hahahaha kama wale wenzao wanaohangaika na yule FREDINHO pale manure
 
Vile Vistats uchwara vya Kepa, Hazard na Joginho vyote vimepotea.

Walikuwa wao Ni Wingi Kuliko sisi Humu kwenye Uzi, lakini sasahivi wamejipiga Ban wenyewe.
Mkuu

Chelsea ninauhakika watapotea zaid ya hapo time will tel maan wakikutana na kiungo mwenye uwezo wa kumkaba vzr joginho basiii kwisha kaziii
 
Sio kwel leta stats za fabinho kwenye game zake alizocheza ndo utajua ubora wa fab sema ndo bench linataka kumporomosha ni vigumu ww shabik wa za gono kunielewa maana ushakaza ubongo
Huyo fabinho ni mwepesi, pale mlipoteza hela, bora mngemchukua ile DM ya watford ,

Fabinho mkimuweka , soon mnaporomoka , yule ni type ya kina bakayoko
 
Kuna watu humu wanajifanya hawajaona kaz ya fab sasa tazama haya maajabu ya huyu kiumbe dadika game chache Ila kazi aliyofanya ni kubwa

A defensive midfielder equally comfortable at right-back, Fabinho averaged more successful tackles than any Liverpool midfielder in the 17-18 campaign, winning the ball back 3.4 times per 90 minutes.
Milner averaged 3.0 successful tackles per 90 minutes this season, with Can just behind him on 2.9.
Henderson completed just 2.1 tackles per 90 minutes of Premier League action, Chamberlain 1.9 and Wijnaldum 1.3.
In Liverpool’s high-intensity pressing style, Henderson has won 1.3 interceptions per 90 minutes this season, equalling Fabinho’s Ligue 1 efforts.
Can and Chamberlain both average 1.2 with Milner just behind on 1.1 and Wijnaldum completing 0.9 interceptions per 90 minutes.
 
Everton bhana!! Baada ya kumlilia LiverBird miaka Mingi na Bosi Wao Kufanikiwa Kulinunua Jengo la Royal bird building lenye Liverbird wameamua Kuliwekea Rangi ya Blue!!!!

They wanna change from "Liverpool is red" to "Liverpool is blue"..!

Naona wapo njiani Kumrudisha Liverbird kwenye rangi ya blue na kumtoa kwenye red.

mkuu kurudisha goli 3 tena fainali ndio unaita bahati...basi tuseme bahati ni mechi hii ya mwisho vs napoli bahati iwe nasi tusonge mbele 16 bora...kwa hio tutakua tumefanya yote mawili tumeshinda na tumebahatisha...kama hio ndio itatuvusha raundi hii basi hatuna namna....
YNWA
 
Gap la point 5 limepunguza wapambe wa chelshit hum na story za joginho
tunapumua mkuu maana walivamia uzi na stori zao za masterpass...ana bahati hajapata kadi nyekudu mpaka sasa maana amegeuka ni kucheza rafu mbaya...
watuache tupambane na yetu....
 
Eeeh Mola jalia huyu klopp leo aamke na akili nzur ili atuwekee mido zetu za maana Fabh keita na shaqir.

Kwan Mancity had sasa imetupiga gap la Points 5 hivyo mechi ya leo ni ya muhimu kushinda. Amen
Mancty bana ni habari nyingine, bila Aguero, KDB,Silva, Mahrez, Kompany jamaa bado wanakimbiza mbaya goli 3...
Klopp sio leo tu ndio aamke vizuri ni kuanzia sasa mpaka mwisho wa msimu...kikosi lazima kipangwe cha kuleta shangwe sio cha kubeti vile...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…