The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
mech ya leo ngumu sana wakuu,mimi nishajiandaa kisaikolojia kufungwa.
mech ya leo ngumu sana wakuu,mimi nishajiandaa kisaikolojia kufungwa.
ningependa kat asimame allen,gerald na herndason......af uku kwa majiran kubaki kama kulivo saiv....chelsea0-0 fulham, asrnal 0-0 stoke dk 53
tunawafunga hao soton
andeleeeni kumwaga update ili sisi tulio mbali na runinga tusiwe nyuma
Tatizo je defense ya Pool itaweza kulinda ushindi ?