Ndugu yangu,kumchukia Suarez ni kujipa ugonjwa wa moyo bado kijana mdogo na taifa linakutegemea.Yanini ujikondeshe na raha zipo?
Alikuwa kafungiwa mechi kumi,akakosa mechi sita za ligi msimu huu,Kacheza mechi 11 tu na amefunga magoli 17 manne zaidi ya Aguero ambaye hakukosa mechi hata moja ya EPL...

That game agaist spurs was a briliant,fantastic,more creativity from cotinho,sterling and joe allen in midfielder, dah game ilikuwa safi sana na suarez alikuwa moto wa kuotea mbali.
Heeheeeheeeee! Watajibeba....
Habari 'zinazovunjikavunjika' ni kwamba Luis Suarez amesaini mkataba mpya na Liverpool. Ameongeza miaka minne na nusu.
Hiyo ndo Liverpool, mambo kwa uhakika. YNWA.
kafa mtu huko 3-1,suarez mwiba kama kawa.Ndani ya mechi nne ambazo ni sawa na mwezi mmoja wa kalenda ya ligi kapiga goli KUMI..Kaweka na kuvunja rekodi za kina shearer..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.