word.
Rabiot? well..... IMO that part of the pitch is already crowded with Keita & co competing for only those 3 (or 3.5) places.
if we must bring in another body in Rabiot, then something has to give first... which reminds me of Lallana. i reckon Rabiot would be an upgrade on Lallana, exit the latter enter the former.
there's one more thing I like about Rabiot. he's a Red through and through, so when/if he joins there won't be shortage of passion on and off the pitch!
japokuwa umetumia lugha ya malikia na ya kikwetu ila message yako nimeielewa sana.Cr7 scored 31 goals at Utd and won the BDO, but the world fully recognized him baada ya kuspend his years at Madrid, he bacame a world class product at Madrid, i mean Wayne rooney was tipped as the best young player to ever at United, and still one of United legends na overall he had better football career at Utd than Cr7, but look who came on top? despite rooney tremendous career at Utd hajawahi kupata shouts za BDO kama ilivyo kwa Cr7. do you think kwa jinsi Ronaldo alivyoturn up kwenye QFs mpaka fainal the year ambayo Madrid walibeba their 3rd CL, angekuwa Utd angepewa BDO? SG led us to the 2005 CL win but they didnt give him BDO, Thierry henry and the invicibles but hakuambulia kitu, Lampard the year chelsea won CL hakuambulia kitu, Yaya Toure won almost everything at City (bar CL) but hata kwenye top 5s za BDO hakuwepo, KDB had a tremendous campaign last season but.... without forgetting hazard 2014/15 memorable campaign. all im saying hawa wachezaji wangekuwa Madrid au Barca wangekuwa wanapata shouts za kutosha kwenye BDO.
Cr7 became a real Messi rival baada ya kujoin Madrid, Xavi anakumbukwa zaidi na hiki kizazi zaidi ya Pirlo because pirlo played kwenye less marketable team ya Juventus, and Xavi played for Barca.
i like Fekir - a lot actually. but nina mashaka kidogo na fitness yake vis a vis our high-octane style.So kama Lallana akiondoka next summer,
ukipewa Rabiot and Fekir utamchagua yupi chief?
Upo ulazima Wa Kuja Wote Wawili Rabiot na Fekir Kutokana na Age ya Milner pamoja na Dilemma Ya Mane.
Hii Delay ya Mane kusign New Contract Ni Serious issue kinyume na Wengi Wanavyoichukulia Kiwepesi wepesi.
So, Fekir Kuja Kucover Position ya Milner! Vipi Kuhusu Mane? Hapa ndiyo Uhitaji Wa Rabiot na Fekir unahitajika ili in case Mane ameondoka Fekir will be one Among Front 3, then Rabiot Will Join Fabi and Keita to be Fabinho-Keita-Rabiot.
i like Fekir - a lot actually. but nina mashaka kidogo na fitness yake vis a vis our high-octane style.
i just have this horrible feeling kuwa he may end up being yet another Sturridge.
maybe am being paranoid but i think we need players who bring in a good balance between graft and flair.
i think that's what may have catapulted us to the UCL final last season. it was no coincidence that we became a different beast after Cou left and had the Ox in that position who we know what he offered.
japokuwa umetumia lugha ya malikia na ya kikwetu ila message yako nimeielewa sana.
je kwa uelewa wako kwenye masuala ya mpira wa miguu je kuna uwezekano hivi vyombo vikuu vinavyosimamia mpira wa miguu wana mchezo mchafu wanaoufanya nyuma ya pazia?
yep, man.Rabiot then...
think Klopp wont buy a number 10 again.
dah.
MY COMBINED XIs
1. LIVERPOOL AND MAN UTD
De Gea, TAA, VVD, Bailly, Robertson, Fabinho, Pogba, Keita, Salah, Mane, Firmino
Manager: Klopp
2. LIVERPOOL AND ARSENAL
Allison, TAA, VVD, Gomez, Robertson, Fabinho, Keita, Ozil, Salah, Mane, Firmino
(Mustafi and Sokratis are equally as shit as Lovren, so nimeona nimuweke Gomez)
Manager: Klopp
3. LIVERPOOL AND CHELSEA
Allison, Azip, VVD, Rudiger, Robertson, Jorginho (for NOW), kante, Keita, Salah, Hazard, Firmino
Manager: Klopp
4. LIVERPOOL AND SPURS
Allison, Trippier, VVD, Toby, Robertson, Fabinho, Keita, Erkissen, Salah, Mane, Kane
Manager: Klopp (Poch is very good but Klopp got trophies kwenye his locker)
5. LIVERPOOL AND MAN CITY
Ederson, Walker, VVD, Stones, Robertson, Ferna, Silva, KDB, Salah, Mane, Aguero
Manager: Pep.
Matic and Fabinho ni debatable, but nimemuweka Fabinho kwasababu Manager ni Klopp and Matic cant player kabisa kwenye system ya klopp. but kama Manager angekuwa ni Mou, Conte or Poch, Matic starts ahead of Fabinho.
My combined XI ya Liverpool na Chelsea wachezaji pekee wa Liver watakaoingia ni VVD (in place of Luiz) na Firmino kama striker.
Wengine wote I will stick na our current squad.
• Alisson/Kepa unamaanisha bora Kepa?
• Salah/Willian unamaanisha bora Willian?
• Keita/Kovacic unamaanisha bora Kovacic?
Wewe Mkweli Upo gizani!!!
Fekir.So kama Lallana akiondoka next summer,
ukipewa Rabiot and Fekir utamchagua yupi chief?
Don't worry about Fekir's fitness. Nimeangalia clips zake ni balaai like Fekir - a lot actually. but nina mashaka kidogo na fitness yake vis a vis our high-octane style.
i just have this horrible feeling kuwa he may end up being yet another Sturridge.
maybe am being paranoid but i think we need players who bring in a good balance between graft and flair.
i think that's what may have catapulted us to the UCL final last season. it was no coincidence that we became a different beast after Cou left and had the Ox in that position who we know what he offered.
You got it right bro. Keppa will never make stupid mistakes za Allison.
Willian's character ndani na nje ya uwanja. I will pick that over Mane and Salah combined.
Nani mwingine umemtaja...?
So yes... #mtazamo
heavy metal ya Klopp ni habari nyingine kabisa kwa magoti ya biskuti!Don't worry about Fekir's fitness. Nimeangalia clips zake ni balaa
Would you care man to explain why then we signed Fabinho from agent Mendes while we dont deal with such calibre agentsFootball is the most dirtiest sport in the world.
FIFA is the most corrupt organization in the world, (rejea countless of their corruption scandals over the years)
ishu ya QATAR kuhost world cup 2022 imegubikwa na corruption.
Flo Perez (The Don), Madrid president and his close friend Bartomeu (Barca president) ndiyo wanarun spanish footie, and Perez ana big say UEFA. (many people hawajui kuwa hawa watu wawili ni close buddies). these dudes are mafias, wanafanya kazi kwa ukaribu sana na rich agents, kama Mendes. Raiola, Kia etc (these dudes pia wanarun mpira wa ulaya kupitia their agency companies). i mean huwa hatupendi sana kuongelea kiundani mambo ya Transfers saga, but there is a reason why LFC decided to let Coutinho go in january, there is a reason why LFC didnt report Barca for tapping up Coutinho (Coutinho agent ni Kia, so do the maths). juzi juzi hapa Kia alimuoffer bwana ndogo pedrinho LFC, na tukakataa, simply because Kia ndiyo alikuwa agent wake. LFC ilishakataa kufanya kazi na Mendes, Raiola na Kia, thats why football experts wengi walishitushwa na deal ya Fabinho kwasababu his agent ni Mendes,
BDO is more about marketable players, kama Cr7 angefika QFs za WC wangempa BDO, but kwakuwa alifail they had to look for more marketable player whos profile is so easy to sale, hence ikaja ishu ya Modric, so it wont be so tough kuaminisha watu kuwa jamaa anastahili BDO kwa kutumia his CL campaign na WC, and after two years they will start to mould another competitors, kwa kuanza na Mbappe ambaye so soon anaweza akawa Madrid player. na Flo Perez anaposign player aina ya Mbappe his big promise ni kumfanya ashinde BDO, Perez plans failed kwa Bale kwasababu ya majeruhi ya Mara kwa mara. PSG promised Neymar BDO and he fell for that na sasa anataka kuforce move ya madrid, and Perez anaonesha anamuhitaji zaidi Mbappe.
everything huwa ni planned kwenye footie,
cant start about the English FA.
Huyu ali fail medicalheavy metal ya Klopp ni habari nyingine kabisa kwa magoti ya biskuti!
Huyu ali fail medical
Nitachukia sana kuletwa mchezaji ambaye vipimo vimeonyesha kabisa haiwezi EPL
Rabbiot sawa na aje sio Fekir
Fekir failed Liverpool medical - Recherche Google
You got it right bro. Keppa will never make stupid mistakes za Allison.
Willian's character ndani na nje ya uwanja. I will pick that over Mane and Salah combined.
Nani mwingine umemtaja...?
So yes... #mtazamo
nadhani Fekir vs OX ni suala la cost-benefit. 35M vs 50M+ ni parefu.Swali Linakuja Kwanini Tulimsajilo Ox Chamberlain na Wala Hakufeli Vipimo Wakati OX ana Record Mbaya Zaidi Ya Injury alipokuwa Arsenal Kuliko Hata Huyu Fekir?
Ni Wazi Kuwa OX from the Beginning ilijuilikana Wazi Kuwa Hatoiweza GGP ya Klopp lakini still Tumesucrify more than £35m+.