Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,606
- 81,641
Neymar Jr atabiri Liverpool kutomaliza ndani ya top four msimu huu.
According to the Daily Express, he was asked who he thinks will win the Premier League.
“Who will win it? Woah that's difficult,” said Neymar. “It's very hard, very difficult, but Manchester City will win it.
“Second will be United, third is Chelsea. Fourth is Tottenham.”
When pressed on the matter, Neymar confirmed “no Liverpool”
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu dah yani gem ya juzi ni wazi kabsaa hendo ndo kaiua mana kuanzia dakika ya 23 hadi alivyo toka ndo kidoogo tukawa vizuri eti mtu anasema kocha kuna anacho kipata sizani kama nifala kiasi hicho.Inferiority complex hizi, we are Liverpool, sisi kama washabiki we have all rights kuzungumzia mapungufu ya timu yetu na there is no one person to tell us kwamba he knows better.
Klopp most likely atakuwa amekuwa forced kukubali hiyo kitu kutoka kwa Waingereza, sote tunajua jinsi wanavyowapigania wachezaji wao.
Henderson ni mzigo kama Makonda.
Labda kuna vitu kaona... TusubiriNeymar Jr atabiri Liverpool kutomaliza ndani ya top four msimu huu.
According to the Daily Express, he was asked who he thinks will win the Premier League.
“Who will win it? Woah that's difficult,” said Neymar. “It's very hard, very difficult, but Manchester City will win it.
“Second will be United, third is Chelsea. Fourth is Tottenham.”
When pressed on the matter, Neymar confirmed “no Liverpool”
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni utabiri wake tu, huu unawza pia kuendana na mapenzi yake binafsi na baadhi ya factors ambazo hatuzijui, hakuna ulazima wa utabiri wake kuwa ni wa kweli, ukute hapendani na Firmino akaamua kuichukia timu nzima ya Liver😎Labda kuna vitu kaona... Tusubiri
KwaniLiverpool owners wake ni raia wa Uingereza?Inferiority complex hizi, we are Liverpool, sisi kama washabiki we have all rights kuzungumzia mapungufu ya timu yetu na there is no one person to tell us kwamba he knows better.
Klopp most likely atakuwa amekuwa forced kukubali hiyo kitu kutoka kwa Waingereza, sote tunajua jinsi wanavyowapigania wachezaji wao.
Henderson ni mzigo kama Makonda.
Kachanganyikiwa huyoNeymar Jr atabiri Liverpool kutomaliza ndani ya top four msimu huu.
According to the Daily Express, he was asked who he thinks will win the Premier League.
“Who will win it? Woah that's difficult,” said Neymar. “It's very hard, very difficult, but Manchester City will win it.
“Second will be United, third is Chelsea. Fourth is Tottenham.”
When pressed on the matter, Neymar confirmed “no Liverpool”
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari mbaya Sana kwa majogooo....nafikiri ataogea kila aina ya matusi huyu jamaa.Neymar Jr atabiri Liverpool kutomaliza ndani ya top four msimu huu.
According to the Daily Express, he was asked who he thinks will win the Premier League.
“Who will win it? Woah that's difficult,” said Neymar. “It's very hard, very difficult, but Manchester City will win it.
“Second will be United, third is Chelsea. Fourth is Tottenham.”
When pressed on the matter, Neymar confirmed “no Liverpool”
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anayempa games anajua kuliko wote sisi hapa
Utabiri tu ata wewe unaweza kutabiri Watford bingwaHii habari mbaya Sana kwa majogooo....nafikiri ataogea kila aina ya matusi huyu jamaa.
Majogooo njooni muone neymar anavyowatabiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama angeulizwa kabla ya kick off za UCL last season unafikiri Angetabiri kuwa Liverpool ingecheza finals na Real? Ofcourse asingeweza kubashiri hivyo, so utabiri wake hautoweza kuathiri progression ya Liverpool kamweHii habari mbaya Sana kwa majogooo....nafikiri ataogea kila aina ya matusi huyu jamaa.
Majogooo njooni muone neymar anavyowatabiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama angeulizwa kabla ya kick off za UCL last season unafikiri Angetabiri kuwa Liverpool ingecheza finals na Real? Ofcourse asingeweza kubashiri hivyo, so utabiri wake hautoweza kuathiri progression ya Liverpool kamwe
Neymar Jr atabiri Liverpool kutomaliza ndani ya top four msimu huu.
According to the Daily Express, he was asked who he thinks will win the Premier League.
“Who will win it? Woah that's difficult,” said Neymar. “It's very hard, very difficult, but Manchester City will win it.
“Second will be United, third is Chelsea. Fourth is Tottenham.”
When pressed on the matter, Neymar confirmed “no Liverpool”
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwacheni aropoke ropoke, tar 7 Oct atakuja Anfield, hizo mind games zitamwonesha sisi ni nani.
Ajue wapi kocha anampanga kwa shinikizo tu nahisi hata glujic kamtoa kwa shikizo ili hendo apate japo dakika kadhaa kepten mechi nne hajamaliza hata moja na akipangwa anaogopa mipira kaachwa mbali sana na milnaHaya hata kama anajua lkn c mtu sahih katika first11 kwa sasa katk lfc