Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mzeebaba

Mwenzio ndo kwanza leo wamempa mkataba mpya with a huge pay-rise!

Personally sijamuelewa Klopp,sema ni vile tu huwa sipendi kujishughulisha na issues ambazo zipo out of my control!

🤣🤣🤣
 
Ina maana Hendo wamemuongezea mshahara hadi pauni ngapi maana alikuwa around kwenye pauni laki moja kwa wiki zamani
 
Klopp anajua soccer management kuliko sisi wote hapa tena hatupo hata close kumfikia!
Kuna kitu anakipata kwaCaptan sisi hatuwezi kukiona kwa macho!
Ndiyo haya haya Felain kule upande wa pili,kila kocha anampa nafasi lkn hatujiulizi why
Nina imani kubwa sana kwa Klopp,nina imani kubwa sana kwa Le Capitane wetu Hendo
 
Goli la LC hata tuzungushe vipi maneno lkn kosa ni la kipa!
Mpira katuliza na Ihenacho alikuwa mbali sana hata angeubutua vile vile au angeuacha iwe kona
Lkn kufungwa kwa bao hili ni saafi sana kwa Liverpool sababu sasa kipa atajirekebisha!
 

Inferiority complex hizi, we are Liverpool, sisi kama washabiki we have all rights kuzungumzia mapungufu ya timu yetu na there is no one person to tell us kwamba he knows better.

Klopp most likely atakuwa amekuwa forced kukubali hiyo kitu kutoka kwa Waingereza, sote tunajua jinsi wanavyowapigania wachezaji wao.

Henderson ni mzigo kama Makonda.
 
Mzeebaba

Mwenzio ndo kwanza leo wamempa mkataba mpya with a huge pay-rise!

Personally sijamuelewa Klopp,sema ni vile tu huwa sipendi kujishughulisha na issues ambazo zipo out of my control!

🤣🤣🤣
Hawajazungumzia huge pay rise
 
Goli la LC hata tuzungushe vipi maneno lkn kosa ni la kipa!
Mpira katuliza na Ihenacho alikuwa mbali sana hata angeubutua vile vile au angeuacha iwe kona
Lkn kufungwa kwa bao hili ni saafi sana kwa Liverpool sababu sasa kipa atajirekebisha!
British trash....

It Trent was African, angeshapelekwa Loan Sheffield
 
Dan sio muingereza?Ana command yyt kwenye team?
Klopp au mmiliki wa Liverpool ni waingereza?
Hendo anavyo pewa kikosi cha kwanza hadi team ya Taifa kuwaweka nje akina Dier napo anapendelewa?
Kuna kitu SISI tusio wataalam hatukijui juu ya Hendo lkn akina Southgate wataalam wanakiona
Huwezi pendelewa kila mahali kwa watu tofauti tofauti
Go Hendo our Le capitane
 
Sure.... Anamkaribia prezoo wetu

Story ya Henderson na klopp inashabihiana na story ya makonda na JPM

Tuwaache Wale bata
 

Sawa mkuu...
 
Harry Kewell akizungumzia Utatu wa Salah, Mane na Firmino

"They’re exciting. And you look at the players he has on the bench to come on. Look at their front three – it’s frightening,” he told Sky Sports.

“We always talked about Liverpool needing a 30-goal striker; for me, Firmino has been excellent. I can’t fault him. He works so hard in positions on and off the ball, which is fantastic.

“And then you have Mane and Salah driving at you – and both of them seem to have a competition to see who can score the most goals – it’s just excellent.”



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…