Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
ITKs wanasema Fekir ame-fail his medical.
but RMC are saying its done.
waiting on Paul Joyce confrimation.
Hata deal ya Lacazette walikataa hvy hvy, kwa Wafaransa hyo ni indication the deal is doneLakini Jean-Michel Aulas Amekanusha Kuwa Deal lipo Close to be done! Amesema informations zote ambazo zipo viral mitandaoni Ni False na Haitowezekana Kufikia Agreement before World Cup.
So, Kwangu Ni dilemma!
Hata deal ya Lacazette walikataa hvy hvy, kwa Wafaransa hyo ni indication the deal is done
Kombe-less mnamalza msimu bila kombe duuuh mnacheza mpira mzuri kama Tottenham lakn hakuna kitu. Bora Chelsea ana FA
Sad, hakuna hata mmoja aliewapa kombe la maana
[emoji106]Inawezekana Hii ikawa ndiyo Sababu Ya Kukataa kwao ↓↓↓
It is understood that as a publicly listed company Lyon are obliged to ensure any information that may affect share price is denied, until any deal is officially completed - and the deal will not be done until the results of any medical are assessed and confirmed. ([HASHTAG]#Mirror[/HASHTAG])
Kwani ile uefa mliokua mnapiga nayo nduru humu jukwaani kwamba watawapa ilikuaje?Salah, Mane na Firmino wananipa Title ya EPL msimu ujao
Kwani ile uefa mliokua mnapiga nayo nduru humu jukwaani kwamba watawapa ilikuaje?
Kilichopelekea Kuchelewa Kupata Confirmation ya Done deal Kwa Fekir Ni Kuwa Kunatetesi ya Kuwepo Kwa issue ya Knee problem jambo ambalo Mapaparazi walidakia Kuwa Amefail Vipimo.
Lakini Kwa habari Za Uhakika Ni Kuwa Hiyo issue imeshakuwa Solved and no more threat ya kufail.
Bahati mbaya mi sio shabiki wa Madrid,Superstar wetu alijeruhiwa na mchezaji wenu dakika chache za mwanzoni. Na wengi tumehisi mliingia na njama za kufanyika kwa jambo lile
Bahati mbaya mi sio shabiki wa Madrid,
Anyway msimu ujao msije mkaleta visingizo vingine
Kwan Fekir raia wa wap???...umevurugwa nnAlaa, Fekir ni raia wa wapi?
Eredivisie ina ushindani kuliko Ligue 1?
Vipi kuhusu Antony Martial?