Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Umeruhusu goli mbili kwako! Umetoka tayari.
Tunza hii.
Mpira haupo hivyo mkuu,barca alifanywa nnSasahivi Mumeamua Kujitokeza! Lakini endeleeni Kujidanganya Kama Mulivyojidanganya Kwa Man City.
Tumeshafika Final huo ndiyo ukweli
Umeruhusu goli mbili kwako! Umetoka tayari.
Tunza hii.
Bint hujalala tu? Wanaume tutakubaka kama tulivyombaka mumeo romaKudadek hizi bao mbili zitamcost mtu kule roma
Mpira haupo hivyo mkuu,barca alifanywa nn
Yani wewe bado hujaifahamu AC Roma tu hahaha ..subiri utajuta kukutana nao.Sasahivi Mumeamua Kujitokeza! Lakini endeleeni Kujidanganya Kama Mulivyojidanganya Kwa Man City.
Tumeshafika Final huo ndiyo ukweli
Kwakweli Klop amewacost kumtoa Salah mapema, mlikuwa mshamaliza game mnasubiri final, but hizi goli 2 za away zinawapa shida kidogo mechi ya pili ingawa mna nafasi kubwa ya kupita. Anyway, Salah ni mchezaji hatari sana leo nimemkubali rasmiSabu Ya Salah ilikuwa ifanyike after 85min lakini Klopp alijiamini Sana.
By the way Tukutane Kiev Kwani Klopp si Mjinga Wa Kutojipanga.
Katika hali ambayo hutaamini ..ni pale Roma atakapo kutoaMkuu hawana uwezo wakutuzuia tusipate goli Italy hao,safu ya ushambuliaji ya Liverpool iko vizuri sana lazima wascore tu.roma out
Tuombe Liverpool amtoe Roma! Venginevyo Klopp atabeba Lawama Kubwa Sana Kuwa Timu ameitolesha Kwa Kumtoa Mo Salah katika Mchezo Wa Leo ikiwa Bado Ni Mapema.
Huwezi kuelewa lengo la kocha hapo kama angeendelea kucheza yangeweza kumfanyia rafu ili akose mechi ijayo,amini nakwambia Liverpool tunavuka mpaka fainali kiulaini kabisaKlop kaniudhi sana kumtoa Salah... dah... haya mataliano hayachelewi kutufanya yalichomfanyia Barca... too bad!