mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 686
You gonna get mugged....Don't ever walk alone when you're in stretford street .....
Hio nafasi mliokua jana ndio yenu mmetushikia tu hapo juu nakupasua tarehe kumi wenyewe nakutuachia nafasi yetu rasmi ...na after hapo jiandae kula vichapo vitano mfululizo maana ntakochokufanya utapagawa kabisa
Tumeshawaachia nafasi yenu. OngereniTusubiri muda ufike tu. Sio mbali tuombe uhai
Tumecheza Vizuri...
Si Makosa ya Timu...
Si Makosa ya Kocha...
Ni Individual Mistakes za Trent Alexander-Arnold Ndiyo Zilizotufanya Tupoteze Mchezo...
Timu ina Consistency Nzuri tu...
Tujipange Kwa Next game...
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Alex bado kinda anaedelea kusoma...nakumbuka msimu uliopita mechi ya Traford alimnyamazisha Martial kabisa....leo ndio hivyo...al in al YNWATumecheza Vizuri...
Si Makosa ya Timu...
Si Makosa ya Kocha...
Ni Individual Mistakes za Trent Alexander-Arnold Ndiyo Zilizotufanya Tupoteze Mchezo...
Timu ina Consistency Nzuri tu...
Tujipange Kwa Next game...
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Mchezaji kama trent alexander arnold.hana uwezo huyo wa kucheza Liverpool yeye na mwenzake gomez ,wanapata namba kwa sababu clyne ayupo ,dawa nikuwapiga bench kabisa na kuwauza kabisa
Alex bado kinda anaedelea kusoma...nakumbuka msimu uliopita mechi ya Traford alimnyamazisha Martial kabisa....leo ndio hivyo...al in al YNWA
Imekaa kichokozi mtu wajua kabisa nyumbani kwa marehemu kisha wauliza msiba utakaa wapi!Majirani msiba unakaa wapi????
Poleni sana.