Suala la kuumia halina muda maalum kama kacheza DKK 75 hajaumia kwanin aje aumie dakika ya 80?, angeweza kuumia hata dakika ya 20 na anaweza kuumia hata mazoezini kabla ya gemu ya Tottenham make mara kadhaa zimeripotiwa injuries mazoeziniTuna mechi.muhimu weeknd vs tottenham na ile mechi tayari 3-0 so why mtu aje aumie kizembe. Mtaanza tena kulia why kamuacha na wakati tushashinda. Atamfikia tu huyo Kane na atampita
Hakuna team isiyo uza hapa duniani ikija bei nzuri!
Barca wamemuuza Neymar ndiyo awe Coutihno!
Miaka mitano ktk Liverpool Coutihno katupa nn?
Klopp anajua kuliko sisi wote hapa combined
You're so gutless at times. its sickening.
so unafananisha setup ya Messi's Barca na Liverpool? for the last 10 years Barca wameshinda makombe zaidi ya 20. LFC ina miaka 28 bila PL, miaka 13 bila UCL, miaka 12 bila FA, miaka 7 bila mickymouse cup. so club gani hapo inaweza kuuza mchezaji bila kuathiri maendeleo yake?
and btw, umewahi kusikia lini Barca wanaentartein suala la kuwauza Messi/Iniesta/Busquets (ambao ndo backbone ya team?) and also it took them miezi mingapi wao kumreplace neymar na kina Dembele na Coutinho?
by the way Messi is barca's most important player. and to this point they have done everything they can to keep him.
Coutinho hasnt won us anything in 5 years.
so Messi and Ronaldo wameshinda makombe yote yale peke yao bila ya msaada wa top class and world class players wanaowazunguka kwenye teams zao.
the same will be said baada ya salah/mane/firmino kuondoka, because apparently watu wanategeme they will win us trophies playing with Mignolet/Lovren/Milner/Henderson/Lallana/Ings/Solanke/Bogdan/Flanagan/Klavan etc.
Mm nashangilia 3-0 ya jana mkuu!
Coutihno was not so called MOST IMPORTANT player kwa Liverpool,mwaka jana kaumia kakosa mechi kibao team ikafuzu CL
Unamaanisha hakuna timu isiyokuwa na Average player kwenye Starting 11 yake na hata kwenye Squad yakeHadi Matheu alikuwa anacheza mechi hadi classico kule Barca!
Trash Danilo alikuwa anapata games kibao Madrid,hamna team duniani ambayo wachezaji wote ni super!
Klopp anaanza kuchukua makombe na wachezaji hawa hawa
Coutinho hasnt won us anything in 5 years.
so Messi and Ronaldo wameshinda makombe yote yale peke yao bila ya msaada wa top class and world class players wanaowazunguka kwenye teams zao.
the same will be said baada ya salah/mane/firmino kuondoka, because apparently watu wanategeme they will win us trophies playing with Mignolet/Lovren/Milner/Henderson/Lallana/Ings/Solanke/Bogdan/Flanagan/Klavan etc.
Hadi Matheu alikuwa anacheza mechi hadi classico kule Barca!
Trash Danilo alikuwa anapata games kibao Madrid,hamna team duniani ambayo wachezaji wote ni super!
Klopp anaanza kuchukua makombe na wachezaji hawa hawa
unategemea klopp atachukua kombe gani sasaaHadi Matheu alikuwa anacheza mechi hadi classico kule Barca!
Trash Danilo alikuwa anapata games kibao Madrid,hamna team duniani ambayo wachezaji wote ni super!
Klopp anaanza kuchukua makombe na wachezaji hawa hawa
Nimekuelewa mkuuBarcelona have players like Ter stegen/Pique/Umtiti/Alba/Semedo/Digne/Sergi roberto/Burgos/Iniesta/Raktic/Messi/Suarez/Alcacer/Dembouz etc. players wote niliowataja hapo bar Alcacer wakija LFC ni first teamers. and btw lfc dont have a good squad players kama Mathieu/Douglas/Vermelen/Dennis suarez.
and Danilo is a good LB, thats why madrid signed him over Moreno. floped at Madrid but he's at man city now winning his first PL.
Tunge shinda vipi makombe na wakati kwenye final alikuwa anakosa penati au alikuwa anataka hizo penati ashinde moreno yeye ndio anyakue kombe?
Barcelona have players like Ter stegen/Pique/Umtiti/Alba/Semedo/Digne/Sergi roberto/Burgos/Iniesta/Raktic/Messi/Suarez/Alcacer/Dembouz etc. players wote niliowataja hapo bar Alcacer wakija LFC ni first teamers. and btw lfc dont have a good squad players kama Mathieu/Douglas/Vermelen/Dennis suarez.
and Danilo is a good LB, thats why madrid signed him over Moreno. floped at Madrid but he's at man city now winning his first PL.
unategemea klopp atachukua kombe gani sasaa
Unamaanisha hakuna timu isiyokuwa na Average player kwenye Starting 11 yake na hata kwenye Squad yake
akiacha kiburi na upendeleo usio na tija ni kocha bora mkuu na ningependa aedelee kubaki miaka mingi..
ila sasa akikosolewa akumbali sio kuleta kiburi..idara ya ulinzi ukianzia kwa golkipa ndio udhaifu wetu na Klopp hii ni dirisha lake la usajili la nne na bado hajalipa kipaumbele ipasavyo...
timu imara lazima iwe na kipa imara asifungwa magoli ya kizembe kama hawa tulionao..
Ndiyo anavyo maanisha yy sio MM!
Kuna avarage kibao Barca na Madrid
Hamna teams ambayo wote wachezaji ni stars!
Mkuu klopp ni bonge la kocha,swala la goli kipa kuwa ni tatizo lilionekana wakati klopp amekuja tu alisajili kipa Baada ya msimu kuisha .msimu uliofata ikaonekana beki mbovu maana beki zilikuwa zinachomesha sana kipa wakaonekana wao sio tatizo sana ,msimu wa 2017/2018 plan zilikuwa beki nyuma mbovu sio kipa tumerekebisha robertson na vvd ila clyn imetokea ameumia msimu wote angekuepo angesaidia sana,Sasa hivi tena katikati ya msimu goli kipa wote wanaonekana wabovu hakuna hafadhali yaani ukilenga goli tu kipa hawezi kudaka,yaani kipa hawana msaada kwenye timu.ilo swala la kipa tusubiri msimu mpaka uishe watasajili tu kipa mpya ila katikati ya msimu nadhani aikuwa kwenye plan ya msimu huu,japo makipa wanajionesha kabisa wabovu.
so missing Penalties ni kosa?
Gerard slipped and costed us a PL title. did you blame him for that?