NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,944
Habari za asubuhi?Tushaongea sana.. Jamaa ana daka kwa kubahatisha.. huyu sio kipa wa kwenda nae Champions league
Pole mkuu ndo ukubwa huoLeo naona Tumeingia na formation ya 4 - 2 - 3 - 1
Beki mtu tano....Swansea alikuja kutafuta point aiseeWatu wamekimbi jukwaa mziki wa swansea sio wa kitoto
Kuna comment humu nilikwambia Liver wanawafungaga wakubwa, wale walio chini ya top 6 huwasumbua, ukadai mwaka huu ni tofauti, na ukanihakikishia kwamba The Swans wanafuata kuchinjwa baada ya Mancity.Leo naona Tumeingia na formation ya 4 - 2 - 3 - 1
Ahsante.Poleni kwa kijipigo.