Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Liverpool sasa kila media ni Salah
Mwaka jana media zote ilikuwa kuhusu Mane!
Ona bao na Everton alilopaswa kutoa kwa Salah,ona jana ile kapiga tiktak wkt angetulia tu!
Cha kufanya Klopp akae nae chini amuambie,akirudia tena akae nje!
Ila kwa kipa sasa ni muda mzuri wa kumpanga kipa Ward
Dah!! jamaa yuko frustrated sana...Nahisi Ni Hile Red Card aliyopata vs Man City Ndiyo iliyomuondoshea Confidence! Na lawama alizotupiwa na Mashabiki Siku hile ya Everton pia Zimezidi Kumuondoshea Confidence! Pia Kushine Kwa Salah kunakomfanya aonekana Salah Main man Wa Timu Kumemjengea Kitu kama Jealous flani hivi ambayo Psychologically inamuondoshea Confidence! Na vile vile inaonesha Wazi Kufanyiwa Rotation Huwa Haridhiki hasa akiangalia Kuwa Kwanini Salah yeye Hafanyiwi Rotation!!!
Ni kweli Kocha anapaswa Akae naye Kitano Anongee nae kabla Hali ya Kiwango Chake Haijawa mbaya..
Pole sana mtani na timu yako siku ya jana
Ila ukweli utabaki kuwa ukweli Ninyi ni wabovu kupitiliza
Sidhani kama ulitegemea droo after first half au baada ya kutufunga bao la pili
Hapa FA wasifikirie wamepeleka timu uefa yaleyale ya sevilla
Sidhani kama liver mtabeba taji lolote this season hata next season
Coutinho!!!!!!? kachukue makombe timu nyingine hii haikufai
Habari hii nahisi ni ya kweli naiyona kila kona aisee.Hi guys.
this might prove to be a wonderful chirstmas gift ever.
have received a msg telling me VVD to LFC is a done deal.
honestly sijui kama ni kweli au ni another "guess" but lets hope for the best.
Merry Chirstmass to y'all. stay blessed.
Anacheza unazi, kuna mtu anamkomoaNahisi Sadio Mane Msimu huu Kapotea Mchezoni! au Macho yangu tu??
Anacheza unazi, kuna mtu anamkomoa !Nahisi Sadio Mane Msimu huu Kapotea Mchezoni! au Macho yangu tu??
We boya nenda jukwaa lakoNyie timu mbovu ngoja mje darajani.
Habari hii nahisi ni ya kweli naiyona kila kona aisee.
Am afraid VVD is going to end up being another Levron.Hi guys.
this might prove to be a wonderful chirstmas gift ever.
have received a msg telling me VVD to LFC is a done deal.
honestly sijui kama ni kweli au ni another "guess" but lets hope for the best.
Merry Chirstmass to y'all. stay blessed.
Nakwambia tutawanyoosha nyingi saana.We boya nenda jukwaa lako