SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Mkuu Na Hapo Ndiyo Clyne Hajapona!!! Akipona tu Basi Tujitayarishe Na Maudhi Mengine Manake Kina Gomez na Trent Ndiyo Watarudhishwa Under 23 wakaungane na Woodburn.
Tetesi
REAL MADRID INAMTAKA SALAH
Real Madrid inataka kumsajili mchezaji mahiri wa Liverpool, Mohamed Salah kwa mujibu wa chanzo cha Hispania Don Balon .
Habari zinadai kuwa miamba hao wa La Liga wanajipanga kumtoa Lucas Vazquez kama sehemu ya dili kujaribu kumsajili Salah, ambaye ameifungia Liverpool magoli 19 msimu huu..
yupo mentally deranged mkuu!Kikosi Chetu Cha Leo:
Karius
Alexander-Arnold
Klavan
Lovren
Robertson
Wijnaldum
Can
Coutinho
Mane
Salah
Firmino
Subs: Mignolet, Milner, Gomez, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Ings, Solanke.
Siku ya Mechi Muhimu Kama Chelsea na Everton ambazo alipaswa Kushusha Kikosi Kamili cha Kazi! Yeye aliweka Wachezaji Wetu Bench...
Lakini Game ya Leo ambayo Ndiyo ya Kupumzisha Wachezaji Basi Kaeka Kikosi Kamili..!
Nashawishika Kuuliza Hivi Huyu Klopp anavuta Bangi Za Nchi Gani? π π π
yupo mentally deranged mkuu!