Kwa kikosi kile cha mwaka jana cha sometimes tunamtegemea Origi lkn tumecheza CL mwaka huu!
Mpe kikosi kile hata Babu Ferguson hachezi CL
Jamani kwa sasa Liverpool ndiyo ina kocha!
Miaka hii 20 walikuwepo wazushi tu
Kama arsenal wameshindwa kufunga goli beki.lovren moreno na kipa karius asi arsenal.ni mbovu kuliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuona ubaya wa HendoSasahivi kwenye timu yetu tumebakisha magarasa mawili tu! Lovren na Hendo... Tukiondosha hao na kuleta mbadala wao VVD na Keita, hapo tusibiri tufanye vitambi tu kwa raha.
Draxler wa nini Lemar nadhani anatosha,hivi Renato sanchez kimemkuta nini twaweza fufua kiwango chake akija??Keita Naby tayari tumemsaini LKN anakuja mwakani!
Klopp anafanya biashara mapema kabisa,isha jifunza!
Bado Van Djiik na Draxler tu tuwe mabingwa
We tema.mate chini hivi umemuangalia hendo mechi alizocheza? Interception zake ......hendo ni punda achana nae kabisaSasahivi kwenye timu yetu tumebakisha magarasa mawili tu! Lovren na Hendo... Tukiondosha hao na kuleta mbadala wao VVD na Keita, hapo tusibiri tufanye vitambi tu kwa raha.
Mmezoea kutoa dau pungufu kama mlivyotufanyia unyama kwa Suares hapa mtajiongeza 150mil mezani mumchukue na mwisho ni leo mkishindwa ndo basi tena unamjua Naby Keita??Nmetumwa kutoka Barcelona naomba mtuuzie Cotinho ,wala hamtapoteza kitu team yenu nzuri sana bila Cot na tutawachoteeni ule mzigo wa muarabu kutoka Qatar ili mumchukue Renato Sanchez
Sijawahi kuona ubaya wa Hendo
Ni kweli mkuu?Keita Naby tayari tumemsaini LKN anakuja mwakani!
Klopp anafanya biashara mapema kabisa,isha jifunza!
Bado Van Djiik na Draxler tu tuwe mabingwa
We tema.mate chini hivi umemuangalia hendo mechi alizocheza? Interception zake ......hendo ni punda achana nae kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeambiwa 160 M EurosMmezoea kutoa dau pungufu kama mlivyotufanyia unyama kwa Suares hapa mtajiongeza 150mil mezani mumchukue na mwisho ni leo mkishindwa ndo basi tena unamjua Naby Keita??
Sent using Jamii Forums mobile app
Naby Keita: Liverpool agree club record deal for Leipzig midfielder for July 2018Ni kweli mkuu?
Anakuja january ama june
Ni kweli mkuu?
Anakuja january ama june
kabisa ila chamuhimu ni liverpool player now kijana atatusaidia sana huyu trust meHivi ata Origi naye si ndo tulimsajili kwa style hii ya Naby Keita?!?