Yeah...that is the first time he's training with the other boys tangu aumie...ngoja tumuone kwenye game ya Saturday kama atapangwaMane z BACK
Mkuu mnajipa moyo tu hamjui moto wa lukaku eeehh...????
Habari ngumu sana hiiCoutinho anasepa
andika jina lake youtube uone mabalaa yakeHuyo Keita simjui vizuri, hivi ni mzuri sana kiasi hicho...mbona hizo hela ni nyingi sana wakuu, 75?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! jamaa una mahaba mazito na lukaku. Kila kona unamsifia tuMkuu mnajipa moyo tu hamjui moto wa lukaku eeehh...????
Jaman keita ni fundi kwanza anakaba hakna mfano wake na anapokua na mpira ana uwezo wa kuhold, kupunguza watu, kufunga ama kutoa pasi za mwisho.Ni vigum Sana kumpata kiungo km yy
Duuuh kumbe mane mfupi ivi?