Mil. 100?? Wawe serious aisee beki yule ya southmpton tu wanataka 60, sa 40 itakoyobaki tutapata mchezaji gani mzuri.Taarifa zinasema klop atapewa paund million 100 na kama ndogo vile kutokana na ushindani sokoni
wanazingua sana wamiliki wetu ila atauza wachezaji km sakho £30+moreno £12+markovic £15+sturidge £35+Stewart £10+Gomez £15 +Kent 10 + wisdom £10 zinaweza fika £200Mil. 100?? Wawe serious aisee beki yule ya southmpton tu wanataka 60, sa 40 itakoyobaki tutapata mchezaji gani mzuri.
Wachumi sana tofaut na waarabu wenye pesa ya mafuta Ila wanajua biasharaMimi nilishawaambia wamarekani ni wagumu kutoa hela
Hawajui kuwa wanatuumiza mashabiki waoMwaka Jana walimuuza Joe Allen £15+ibe £15 +Smith £6+ benteke £30+ skertal £5+suso+bragannan all most total revenue £82 matumizi mane £34+gini £25 +gurlic £5 +kalavan £4 jumla £68 kwa wamarekani ni wagumu kutoa pesa apo kuna ziada km £15 hivi hawa jamaa ni shida
Hey! wewe mgeni JF? hii haituhusu peleka jukwaa husikaFollow this link to join my WhatsApp group: TUONGEE VITABU
Group hili dhumuni ni Mapitio juu ya vitabu na mijadala itatokana na kitabu hicho!.
Member yyt yuko huru kufanya uchambuzi na mapitio juu ya kitabu akipendacho.
Hatuhitaji mijadala inayokashifu.
Hope haitakuwa kweli. Sioni umuhimu wake .Ripoti toka Spain znadai Iker Casillas kaSign Pre-Contract na Liver
Hope haitakuwa kweli. Sioni umuhimu wake .