Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🙂 🙂 atakua ni yeye mwenyewe, kama sikosei amewahi wafunga man city kwa free kick kama hiyo alipiga mpira wachezaji wakaruka juu mpira ukawapita chini mpira ukaingia wavuni likawa goli, nadhani alikua hataki kitokee kitu kama alichowahi kifanya yeye.
 


Kumbe aliwafunga WestHam na sio Man City kama nilivyosema mwanzo.
 
Mkuu MosDef , naona Unai Emery kapeleka msiba Camp Nou baada ya kumfundisha maana ya fainali Klopp leo kamfundisha Enrique

Nadhani bado una mlaani Ian Ayre kwa kum-overlook huyu mtu na kumleta klopp
 
Baada ya mazoezi ya asubuh vijana wanaenda kula lunch huko La Manga spain
 
Dortmund are beleived to have clinched the deal to sign dahoud,a player liverpool planned to pursue in this coming summer. Liverpool will never cease to amaze me. It is these bizarre decisions that hold us firmly in mediocrity. Everything about the club just screams mediocrity.

Klopp: " Tom huddleston? What an amazing skillful player."

It will come as no suprise really if huddleston is earmarked to be our next midfield maestro..gents,i present to you liverpool football club
 
Klopp amesema usajili kadhaa utafanyika kwenye dirisha lijalo. Afadhali ameona tunahitaji usajili. Sasa aache na mambo yake ya kung'ang'ana na wachezaji wa shng 20. Tunakosa wachezaji wazuri and experienced sababu ya ubahili.
 
Jamani mbona tupo kinywa sana!
Leo Chelsea hamfungi Swansea
Tunazidi punguza gap
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…