Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna mijitu ipo kama mapopo na mibundi,

Inaonekana kwenye uzi nyakati za giza kupiga majungu.

Tuna wakaribisha sana.
 
Mpra dakika 90 rudisheni magoli bana ebo! Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mwaka 2017, umeanza vibaya kwetu. Na ili apatetikane mshindi lazima mmoja ashinde. Ngoja tujipange mwakani tena
 




Aise naona Klopp iliwazarau hawa, hivi hakuna aliyemwambia
kuwa timu hii ilikuwa kwenye PL?
​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…