Siku zote lfc sio wasumbufu wao kuifunga chelsea na Utd au City au gunners ndio ubingwa wao [emoji13] [emoji23] [emoji38]Sawa Mkuu! Najua Unauchekelea Ubingwa tu Sasahivi Kwasababu Unajua Fika Baada Ya Kuanguka Liverpool Kwa Msimu Huu Hakuna Timu Nyengine Inayoweza Kukudisturb...
Vizuri sana waambie na wenzako waelewe hilo somo, ila kumbuka kufungwa ni kuzidiwa mbinu na sio kubahatishwa. Poleni sanaNdiyo uzuri wa kutokuwa mtaalamu sana, wengine tunajua tu hivi vijamaa vimetubania tu, havichezi zaidi ya timu nzima kukaa nyuma kuzuia na counter tu, vimetubahatisha mara mbili, tukaangukia pua, tunainuka maisha yanaendelea... sasa nyie bandugu hadi matusi! Mimi hata tungekuwa tunapigania kutoshuka daraja bado mimi ni Liver, hakuna kususa wala nini.
Hii ndiyo timu tuliyonayo, wachezaji wengi ni wa kawaida. Aina ya mchezo tunaocheza na ukubwa wa kikosi chetu, wamechoka. Kama wana miujiza waifanye, kama hawana popote tutakapoishia...YNWA.
Hiyo mamitoh itakupita mkuu itaingia kwenye top four.....Asante mkuu
Tunabembelezana naye maana wote majanga tu
Ndiyo uzuri wa kutokuwa mtaalamu sana, wengine tunajua tu hivi vijamaa vimetubania tu, havichezi zaidi ya timu nzima kukaa nyuma kuzuia na counter tu, vimetubahatisha mara mbili, tukaangukia pua, tunainuka maisha yanaendelea... sasa nyie bandugu hadi matusi! Mimi hata tungekuwa tunapigania kutoshuka daraja bado mimi ni Liver, hakuna kususa wala nini.
Hii ndiyo timu tuliyonayo, wachezaji wengi ni wa kawaida. Aina ya mchezo tunaocheza na ukubwa wa kikosi chetu, wamechoka. Kama wana miujiza waifanye, kama hawana popote tutakapoishia...YNWA.
Well said then wait on tuesday to be undoneSishangai Kuwa Kwanini Ndani Ya Msimu Huu Tumekutana Na Soton Mara 3 lakinin Tumeshindwa Kuwatia Goli Hata Moja......
Tumecheza Michezo 7 ndani Ya January Lakini Tumeshinda Mmoja tu Kwa Tabu dhidi Ya Kibonde Cha Daraja la 3...
Tukubali Ukweli Kwamba Liverpool just don't look capable of beating anybody right now. Any team that is organised in defence and poses a threat on the counter will fancy their chances of beating the Reds at this moment, as they are in a hugely worrying slump. This can't all be down to the absence of Sadio Mane, surely?
Ahsante kwa kulitambua hilo mkuu. Sisi tupo kwa ajili ya kukufariji pale unapodungwa sindano ya matata....!!!Sishangai Kuwa Kwanini Ndani Ya Msimu Huu Tumekutana Na Soton Mara 3 lakinin Tumeshindwa Kuwatia Goli Hata Moja......
Tumecheza Michezo 7 ndani Ya January Lakini Tumeshinda Mmoja tu Kwa Tabu dhidi Ya Kibonde Cha Daraja la 3...
Tukubali Ukweli Kwamba Liverpool just don't look capable of beating anybody right now. Any team that is organised in defence and poses a threat on the counter will fancy their chances of beating the Reds at this moment, as they are in a hugely worrying slump. This can't all be down to the absence of Sadio Mane, surely?
Yani Mane kutokuwepo inaleta shida Ktk timu??? Hiyo team kweli au mauza uza????Sishangai Kuwa Kwanini Ndani Ya Msimu Huu Tumekutana Na Soton Mara 3 lakinin Tumeshindwa Kuwatia Goli Hata Moja......
Tumecheza Michezo 7 ndani Ya January Lakini Tumeshinda Mmoja tu Kwa Tabu dhidi Ya Kibonde Cha Daraja la 3...
Tukubali Ukweli Kwamba Liverpool just don't look capable of beating anybody right now. Any team that is organised in defence and poses a threat on the counter will fancy their chances of beating the Reds at this moment, as they are in a hugely worrying slump. This can't all be down to the absence of Sadio Mane, surely?
Yani Mane kutokuwepo inaleta shida Ktk timu??? Hiyo team kweli au mauza uza????
Mlikua mnaongea sn hapo nyuma lkn kwa sasa naona mmeanza kua wapole
Tunajua hali mnayo pitia ndio maana kiungwana tumejikita kuwapa pole .Since the start of 2017 tumeshinda mechi moja tuu, na tumepoteza two consecutive home matches against the very weak teams
inakatisha tamaa sana aiseee
Duh ! umeweka kumbukumbu sawa !Mmeifunga timu daraja la 3 tena kwa mbinde sana.
Unanikumbusha sigara na nyota nyekundu hawa walikuwa kiboko ya vigogo miaka ile penye mpira wetu .Siku zote lfc sio wasumbufu wao kuifunga chelsea na Utd au City au gunners ndio ubingwa wao [emoji13] [emoji23] [emoji38]