Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duhhhhh!!!
 
Nani mgeni humu, kijana? Kama kuna wanaokulealea humu hapa kwangu umekosea njia, kid. I have lived the world!

Ndiyo shida yenu ninyi vijana mnaojifunzia kuvuta bangi vijijini kwenu kwa ajili ya kupata nguvu ya kwenda shamba. This is pathetic!!
 
Mkuu Muache BAK Atupien Zile Post Zake ni Mdau Wetu Kitambo Sana.....
Mkuu, tatizo huyu jamaa yako ana mambo ya kishamba sana. Ananitukana eti kwa vile nimemwambia he's hurting my feelings? Ameshindwa kutumia lugha ya kistaarabu?

Bora hata angetumia sarcasm badala ya kuni-attack kwa matusi.
 
Hatukujui huku kwenye huu uzi wewe! Mashabiki wote wa L'pool hapa tunawajua na hawana upumbavu kama wako wa kununa pale inapotumwa picha kuhusiana na mchezo ambao l'pool imepoteza. Acha ujinga wako wa kuleta ushabiki wa kipumbavu humu. Ukiona nimetuma picha ya Liverpool katika mchezo ambao impoteza pita nayo mbali kabisa badala ya kuleta ujua wako humu. Watu wengine banaaa kutuma picha tu ambayo iliwekwa mtangaoni kule The Guardian eti kanuna! Dah! hahahahahaha kuna watu wana upumbavu wa kutisha!

Nani mgeni humu, kijana? Kama kuna wanaokulealea humu hapa kwangu umekosea njia, kid. I have lived the world!

Ndiyo shida yenu ninyi vijana mnaojifunzia kuvuta bangi vijijini kwenu kwa ajili ya kupata nguvu ya kwenda shamba. This is pathetic!!
 
Ndiyo maana nimekwambia kama umezoea to ride the easy way, I'll never let you do that.

You got to start behaving yourself on this forum pronto, shamba boy.

and NOW!!
 
Hahahahahahah lol! You don't do know me stupid boy. Go somewhere else to show your stupidity. You know nothing about football. We've never seen you before on this page. Taahira mkubwa wewe wacha kujabaraguza wewe! Who do you think you're on this forum to give me orders!? Remember that on Jamii Forum YOU'RE NOBODY acha kujishebedua bedua mbele ya kadamnasi kama vile wewe ni mmiliki wa hii Forum.

Ndiyo maana nimekwambia kama umezoea to ride the easy way, I'll never let you do that.

You got to start behaving yourself on this forum pronto, shamba boy.

and NOW!!
 
Yeah right, moron!
 


Wakuu Nahisi Ni Wakati Wa Kumaliza Tofauti Zenu Kama Wanaume Coz Haitaleta Picha Nzuri Kuona Munapigana Vijembe! Imetokea Misunderstood Kati Yenu! So, You have to Finish it and Open a New Chapter......


Ndiyo maana nimekwambia kama umezoea to ride the easy way, I'll never let you do that.

You got to start behaving yourself on this forum pronto, shamba boy.

and NOW!!
 
I am not a sadist at all. I've been posting pics here for years and I have never encountered any negative reaction before from anyone on this forum. Mie ukinitusi sikupi shavu lingine matusi nayajua pia.

Now I realise kumbe you're not OK upstairs.

Am definitely dealing with a sadist here. What a waste of my past few minutes!
 
Mkuu Tisha-TOTO let it pass

BAK let it pass too, Tisha-TOTO ni member ni(tu)naye mheshimu humu . Nawe pia nina kuheshimu mkuu. Tuliweke jukwaa letu salama wakuu
I agree.

Tone kwenye post yangu ya mwisho ilikuwa ndiyo hitimisho la ku-argue na huyu mtu wenu baada ya kuona ni sadist fulani.

Mimi sijamtukana, kwa nini atukane watu? What the f......k does he think he's kwenye hii Kopite forum ambayo yeye ni mvamizi?

Anyways, I have rested my case na sitakuwa na majibizano naye tena kwa vile he's clueless.
 
Klop huna beki, bado unaendeleza bifu la kike na Sakho, kweli? hata Swansea? , mbona gurdiola ameyamaliza na yaya mambo yanaenda, awache upumb.avu klop


Mkuu Upo Serious Kweli??? Huyu Sakho Tulimlilia Kipindi Kirefu Kuwa Anatucost Katika Defence! Leo Hii Baada Ya Kuondoka Unataka Arudi Tena???

Mkuu Mizigo Tuliyonayo Kwenye Defence Yetu Still Unataka Tuingeze Na Nyavu Nyengine Sakho...

Kama Yule Ni Beki Kweli Huoni Ajabu Kuwa Tokea Aliponadiwa Kuuzwa Haijajitokea Hata Timu Moja ilotia dau la Kumtaka?

Mkuu Kwa Garasa lile bora Tubaki Na Marazi Yetu Yaleyale Ya Lovren na Clyne.....
 
Most chances created across Europe's top 5 Leagues this season:
Liverpool (293)
Spurs (285)
Inter (275)
Napoli (269)
Man City (268)

But Still We are Struggling in every League Competition.....
We Need A Real Striker and To Use the Created Chances! Not A False Striker....
We Need A Strong and Talented Defender To Block an Opponent's Attacks! Not Fake Defenders....
 
10 points Gap, Klopp must be very happy now
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…