Hakuna mtu wa kuweza kujibu hapa
So far Man Utd iko unbeaten michezo 16 sasa in all competitions, Hakuna club yeyote ndan ya ligi sita bora dunian kwa sasa ambayo iko kwenye unbeaten run ndefu namna hii, SAF aliwah fikisha 18 ambayo ndio ndefu zaid kwake, bado mechi 2 Mourinho aifikie,, kati ya hz gemu 16, 12 n Premier League [emoji41] [emoji41]... Bossing everywhere
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Malizanen wenyewe, mna Arsenal na Spurs hapo hapo
*Juzi Real Madrid kabla ya kufungwa*... Keshafungwa... unajua kiswahili???Wewe Kweli Unaota Na Rekodi Zako Za Paukwa Pakawa.....
Juzi Real Madrid Kabla Ya Kufungwa na Sevila alikwisha weka Rekodi Ya Michezo 40 unbeaten...
Barselona 39 unbeaten.... Juventus >30...
Wewe unajiproud Kwa Michezo 16? Pathetic....
Hapo nina mechi moja tu vs Chelsea na iko mwez April, ... Everton gemu ya mwsho kabisa mwez may, kila kitu kilisha kaa sawa zamanm.. gemu ngumu hapo n vs Chelsea pekeeNa Vizuri Zaidi Wewe Hutomalizana Nazo Hizo Kwani Hamutacheza Na Arsenal, Chelsea, Man City, Spurs, Everton.... Nawapongeza Kwa Fixture Yenu Bora Musiyocheza na Hizo ↑↑ Timu Hapo Juu.....
Hapo nina mechi moja tu vs Chelsea na iko mwez April, ... Everton gemu ya mwsho kabisa mwez may, kila kitu kilisha kaa sawa zamanm.. gemu ngumu hapo n vs Chelsea pekee
13 days remained. To see what will happen in january 31January 31
Liverpool 3 Chelsea 0
We will WIN easily!13 days remained. To see what will happen in january 31
Aya MalafyaleWe will WIN easily!
MAJOGOO all the way!
*Juzi Real Madrid kabla ya kufungwa*... Keshafungwa... unajua kiswahili???
Mtu akikuambia "Kwasasa hakuna" alieko kwenye run ndefu namna hii,, unaelewa nini?
Ukirud huko nyuma unako rud, Utakuta kina Ac milan mech 45, Arsenal 49, Madrid 40, Juve na wengineo including SAF 18... lakn kwasasa zote hizi zilishafika kikomo... the on going longest unbeaten run ndan ya ligi sita bora dunian ni man utd akiwa nazo 16... wanafuata wenye 10, hadi unakuja wakuta kina Liverpool, Spurs na Everton hukoooo, kwenye 8,7,6
Acha ujinga Real alikua na unbeaten run ya 39 games,juz tu sevilla ndo kamchafulia,....16!!!WTFHakuna mtu wa kuweza kujibu hapa
So far Man Utd iko unbeaten michezo 16 sasa in all competitions, Hakuna club yeyote ndan ya ligi sita bora dunian kwa sasa ambayo iko kwenye unbeaten run ndefu namna hii, SAF aliwah fikisha 18 ambayo ndio ndefu zaid kwake, bado mechi 2 Mourinho aifikie,, kati ya hz gemu 16, 12 n Premier League [emoji41] [emoji41]... Bossing everywhere
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
So saiv yuko kwenye unbeaten run mechi ya ngap?Acha ujinga Real alikua na unbeaten run ya 39 games,juz tu sevilla ndo kamchafulia,....16!!!WTF
Chelsea vs Liverpool, Chelsea vs Arsenal, Liverpool vs Spurs, Spurs vs Man City,, Arsenal vs Soton ... lazima tupishaneeeeee"can you imagine how annoying it must be - to win 13 games in a row and find there is still a team only 6 points behind?", said Klopp referring to Chelsea's recent good form relative to Liverpool's.
"can you imagine how annoying it must be - you are on a 16-game unbeaten run and still find yourself 12 points below top of the league and you're languishing in mid-table?", says M-mbabe referring to Danpol's post above re Manure.
Chelsea vs Liverpool, Chelsea vs Arsenal, Liverpool vs Spurs, Spurs vs Man City,, Arsenal vs Soton ... lazima tupishaneeeeee
Malizanen hapo, tupishane... Ukumbuke mechi nilizotaja pale juu zinachezeka ndan ya michezo nne au tano kwa kila club zijazo, tunaanza na Spurs vs CityView attachment 461031
no comment.....
Chelsea vs Liverpool, Chelsea vs Arsenal, Liverpool vs Spurs, Spurs vs Man City,, Arsenal vs Soton ... lazima tupishaneeeeee
Hiyo Chelsea Hapo Ndiyo Sio Mechi Ya Kuogopa Kabisa! Round Ya Kwanza Aliwapiga 4 Kwasababu Mulikuwa Hamjakaa Sawa tu! Nakuhakikishia Round Ya Pili Munamkanyaga.. Hapo Muogopeni Man City Huenda Hata Mukikutana Naye itakuwa Ameshakaa Sawa.... Na Spurs si Wa Kumdharau Kiasi Hicho..
We will WIN easily!
MAJOGOO all the way!