Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Acha kuongea kwa kujifuraisha wewe ..unampiga man city moja wakati uko nyumban!! Mimi nilimpiga tatu akiwa kwakee ...upoo!! Ivo ata Toti atakufa tu maake hamna namna sasa. ..
Ujiandae na wewe Costa mtoa roho yuko njiani kuja kwako.
Amen mkuuHaina Haja Ya KukuQuote Wewe Tena Baada Ya Reply hii Kwani Umeonesha Wazi Kuwa NinamQuote Mtu Asiyejua Mpira...
Mpira Haupimwi Kwa Makisio Ya Timu Nyengine...
Huwezi Kusema Eti City nimeifunga Moja Uwanjani Kwangu Wakati wewe Umeifunga Tatu Uwanjani Kwake!!! Lol....
Kama Hichi Ndiyo Kipimo Cha Ubora, Mimi Arsenal Nimempiga 4 uwanjani Kwake na Kwenye Uwanja Huohuo Kakupiga wewe 3! Je, Huoni Kama Nawewe Away Game Za Top 4 zinakuzingua??
Mkuu Usitutie Aibu Kwenye Jukwaa Letu, Sisi Hapa Hutuendani Na Uchambuzi Uchwara Kama Huo....
Karibu sn tarehe 4 uone tunamvyompiga mtu
Mwambie huyo maana yuko kwakwe anacheza kwa kuvizia vizia km mbwa koko
Teh Teh TehMkuu Usijipe FALSE HOPE, Uhakika Spurs Anakuzuia Japo Kwa Draw lakini Humfungi! Na iwapo Utamfunga Spurs Nakuahidi Kuwa Nitaziwekea Heshima Comments Zako Kwa Kujizuia KukuQuote Mpaka Tarehe 31 January...
Kipigoooo,hao wachumbaa.
Moyes kama namuona najicho lake la huruma lileee
Not the best game in the world but a good win for Liverpool! I knew we would walk away with the 3 points!! And lol at Sterling. Milner didn't allow him to play at all! Congrats Reds! And Happy New Year! Next up: Sunderland.
Wee ukumbuki watoto wadogo kabisaa bonamauthii alikikalisha nne aisee ..yani unaongoza tatu alafu kizembe tu znarudi na bado unachomekwa lingine tena ukiwa apo apo kwakoo 😀 😀 😀 😀 😀 ndo ujue kuwa nan anacheza mpira wa kubahatisha.Unasahau vijiushindi vyenu vya 1-0 kibao msimu huu?
A win is a win
There's no ugly win
What matters is 3 points in the bank
Mmesahau vijiushindi vyenu vya 1-0 kibao dhidi ya timu nyingine msimu huu?
A win is a win
What matters is 3 point in the bank
Na city ya sasa sahau , sio ile ulioifunga,Ata kwa city mlisema hivi hivi
Sasa mbna bonamauthi mim nmempiga tatu lakini kwako alikukula kichwa ...au ukumbuki na iyoo mkuu ...eniwei ksho sunderland atafanya yake kama bonamauthii tuu 😎 😎Haina Haja Ya KukuQuote Wewe Tena Baada Ya Reply hii Kwani Umeonesha Wazi Kuwa NinamQuote Mtu Asiyejua Mpira...
Mpira Haupimwi Kwa Makisio Ya Timu Nyengine...
Huwezi Kusema Eti City nimeifunga Moja Uwanjani Kwangu Wakati wewe Umeifunga Tatu Uwanjani Kwake!!! Lol....
Kama Hichi Ndiyo Kipimo Cha Ubora, Mimi Arsenal Nimempiga 4 uwanjani Kwake na Kwenye Uwanja Huohuo Kakupiga wewe 3! Je, Huoni Kama Nawewe Away Game Za Top 4 zinakuzingua??
Mkuu Usitutie Aibu Kwenye Jukwaa Letu, Sisi Hapa Hutuendani Na Uchambuzi Uchwara Kama Huo....
Sizungumzii swala la kushinda goli ngapi nazungumzia aina au mpira ulioucheza jana wa kuchungulia km mjusi aliebanwa na mrangoHebu Weka Matokea Yako Ya Mechi Zote Za December Tuone Kama Kushinda Goli Moja Ni Kurudi Nyuma Na Sio Kwenda Mbele...
Ata chelsea hii ya sasa sio ile iliyomfunga city hii chelsea ni S500Na city ya sasa sahau , sio ile ulioifunga,
Kweli sio ile, Chelsea hii inaruhusu goli mbili tena kwa stokoAta chelsea hii ya sasa sio ile iliyomfunga city hii chelsea ni S500
Well comment zangu za jana zilikua vzr tu nilisema sioni namna mtakavo wazuia hao city na ni kweli city alimiliki kila kitu nyie mna bahati ya kupata goli tu. Na bado nilisisitiza tusubiri tuone.Ntuzu bhana, hivi unakumbuka comment yako Jana ukiorodhesha wachezaji wa city kuwa wangetufunga? Basi huna tofauti na huyo anaesema mtafungwa na spurs
Ata hii city kweli sio ile inapiga shuti moja golini on target tena kwa lfc??? [emoji13] [emoji38] [emoji23]Kweli sio ile, Chelsea hii inaruhusu goli mbili tena kwa stoko
Tatizo lako liver unawachukulia poa sana wakati alikufunga, jaribu kumuheshimu aliyekufungaWell comment zangu za jana zilikua vzr tu nilisema sioni namna mtakavo wazuia hao city na ni kweli city alimiliki kila kitu nyie mna bahati ya kupata goli tu. Na bado nilisisitiza tusubiri tuone.