Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Moyes nae sijui kaja kuangalia nini
Naona Makocha Wote Wa EPL Jana walijazana Anfield Kuja Kuangalia Soka Safi la Liverpool....
Na Klopp Kwa Matani bhana!! Eti "Mimi Sijawahi Hata Siku Moja Kwenda Uwanjani Kuwaangalia Man City, Lakini Gurdiola Kaja Kuiangalia Liverpool Kwasababu Kaja Kuona Soka Suri sio lile La Kubutua"...
View attachment 451153
Wana usongo wa kuijua GEGENGPRESSINGJiulize kwa nini hawaendi kuangalia mipira Ya kukariri viwanja vingine?
Baada ya pep tunakutana na moyesMoyes nae sijui kaja kuangalia nini
Wale isha jichokeaBaada ya pep tunakutana na moyes
mechi na Man city inaweza kuwa nyepesi kwa kuwa Man city watataka na wao kucheza mpira ila kwa Sunderland itakuwa ngumu maana watakuwa defensive sana na kuzuia performance yetuWale isha jichokea
Mechi kubwa ni hii na Pep
Lkn tutashinda
Mechi kubwa na Chelsea
Klopp nae ....inawezekana yeye haendi uwanjani lakini anashinda kwenye tv kuwaangalia wenzake.Naona Makocha Wote Wa EPL Jana walijazana Anfield Kuja Kuangalia Soka Safi la Liverpool....
Na Klopp Kwa Matani bhana!! Eti "Mimi Sijawahi Hata Siku Moja Kwenda Uwanjani Kuwaangalia Man City, Lakini Gurdiola Kaja Kuiangalia Liverpool Kwasababu Kaja Kuona Soka Suri sio lile La Kubutua"...
View attachment 451153
Klopp nae ....inawezekana yeye haendi uwanjani lakini anashinda kwenye tv kuwaangalia wenzake.
Kuna watu nikiwaambia hili suala wanakuwa wabishiThubutu! Klopp Haendi Uwanjani Hawezi Kushinda Kwenye TV Kwa Kuangalia Timu Yoyote Ya EPL kwani Hawana Cha Kuwaangalia Manake Timu Zote Za EPL Anajua Fika Zinapocheza Na Liverpool Mfumo Wao Ni Mpoja Wa Kudifendi (Bus-Parking Style) Mwanzo Mwisho...
Kwahiyo Baada Ya Kuenda Kwenye Training Ya Melywood Kuangalia Jinsi Gani Ya Kupindua Mabasi! Aende Akaangalie Butua butua za wabritish???