Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa Ndiyo umeandika nini???
 
Wacha wivu mtoto wa kiume kama timu yako haiwezi kufunga magoli kuanzia 3 na kuendelea usifikirie kila timu ipo hivyo safu ya ushambuliaji ya liverpool huwezi kuizuia isipate goli
 
Wacha wivu mtoto wa kiume kama timu yako haiwezi kufunga magoli kuanzia 3 na kuendelea usifikirie kila timu ipo hivyo safu ya ushambuliaji ya liverpool huwezi kuizuia isipate goli

Bora ulivyomjibu manake mimi nimeona bora nimpuuze tu!
Manake anakuja na tuhuma za kutochukua EPL wakati hapa hapana mtu aliyetaja kubeba EPL...
 
Wacha wivu mtoto wa kiume kama timu yako haiwezi kufunga magoli kuanzia 3 na kuendelea usifikirie kila timu ipo hivyo safu ya ushambuliaji ya liverpool huwezi kuizuia isipate goli
27 years and counting na safu yako ya ushambuliaji
 
Hooooooooooooraaaaaaaaaaay Redmen.

Bado City naye anastahili hukumu ya kifo.
Mentor Mbona ulitangaza goli moja tu?😀
😀😀😀😀😀......Kama kuna mtu mwenye chuki na LFC bora asiwe anafungua huu uzi, la sivyo atapatwa na brain hemorrhage in no time.
 
liver atachakazwa vibaya sana na city jumamosi, beki yao haipo sawa
 
liver atachakazwa vibaya sana na city jumamosi, beki yao haipo sawa

Stoke Walitufunga Goli La Kichwa (Mpira wa Juu) Baada Ya Mark Huges Kujua Weakness Ya Liverpool Kuwa Mabeki Wake Hawachezi Mipira Ya Juu (Cross) Kwa Vichwa, Na Kipa Wa Liverpool Hawachezi Crosses....

Kwahiyo Mark Huges Akatumia Advantage Ya Wachezaji Wake Wa Mbele Kuwa ni Warefu Kupenyeza Mipira Ya Juu mpaka Akatusua lile Moja Chini Ya Lovren Akimsindikiza Walter Kutubwikiza Nyavuni...

Lakini Kwa Mbilikimo Wale Wa City Sahau Kutumia Mipira Ya Juu...

Sterling, Aguero, Sane, Silver, De Bruyne Hawa Sijui Nani Atakaecheza Mipira Ya Juu Na Vimo Vyao Vifupi Kama Wacongomani....
Hawa Watalazimisha Pressing Jambo Ambalo Mabeki Wetu Ni Wazuri Wa Kublock Penetration Pass, na Kucheza Tackles...
 
Naona Makocha Wote Wa EPL Jana walijazana Anfield Kuja Kuangalia Soka Safi la Liverpool....

Na Klopp Kwa Matani bhana!! Eti "Mimi Sijawahi Hata Siku Moja Kwenda Uwanjani Kuwaangalia Man City, Lakini Gurdiola Kaja Kuiangalia Liverpool Kwasababu Kaja Kuona Soka Suri sio lile La Kubutua"...

Moyes nae sijui kaja kuangalia nini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…