Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu Unajibizana Na Paparazi Form Nowhere Ambae Kavamia tu Jukwaa La watu? .....

Nah. Nilikuwa najaribu kumuelezea kidogo..

ts not bad, this is a football forum, so they're free kuongea whatever they want..hakuna rules on here. it's a free forum.

Maybe they're enjoying doing this..so let them be.
 
Sio draxler tu, jinsi walivyokua wanatuaminisha humu kuhusu alex teixeira na gotze utadhani huko waliko walikua kwa mkopo
Huko kwenu hamjalipa kodi ya pango !?
Naona umejazana mnahemia huku !
 
Hivi mnaotetea Henderson, ni mahaba au?

Kwamba hata Bayern Henderson anaanza. Hadi PSG anaanza. Madrid napo anaanza. Kwanza huko mbali, Hata Napoli tu, Leipig, Nice, Juve, haanzi kamwe.

Henderson hana ubunifu. Ni basic. Ana mpira wa darasani no talent. Timu ikizidiwa humuoni hata kwa tochi!
 

Ukitaka kulithibitisha hili analozungumzia mkuu MosDef hapa inabidi mtu urudie game against Everton ya juzi sababu huta hangaika kuyaona makosa yake. Jamaa anatakiwa atafutiwe mbadala
 
the problem is, a lot of you mercenaries football fans huwa hamjui kutofautisha kati ya Interest, Inquires na Bidding..

Siku akijua vizuri hayo maneno atakuja kukushukuru . Tatizo mtu akiona tu taarifa anajua basi na bid imehusika
 
Nakubaliana kuwa hendo ni basic na hana ubunifu anaopaswa kuwa nao mido yoyote hasa timu inapokuwa imebanwa.

But the guy offers that small thing he has at maximum.Unaweza kuwa una kitu kikubwa lakini ukatoa kidogo na mwingine anacho kidogo anatoa karibia chote.Nadhani anastahili some credits kwenye eneo la kujitoa kwa nguvu zake zote timu ipate matokeo.Anayo spirit Hendo na ndicho kinachomfanya Klopp ampende i presume.
 

Exactly..

People are rating Henderson, because hawapendi kuangalia leagues nyingine, kuna a lot of young Mid who are better than Henderson out there..

EPL teams zinawekeza sana kwenye attacking, thats why kuna Stand-Out Mids wachache sana Wazuri. Hii ni main reason most of EPL teams huwa zinakuwa over-powered kwenye UCL (recently)


From SG, Masch, Alonso, Lampard, Deco, Makelele, Ballack, Scholes, Keane, Butt, vieira, Gilberto Silva etc to Henderson, Can, Herrera, Pogba, Matic, Fernando Reges, Dier, Alli, Coquelin, Ramsey, Gueye etc..

none of those new generation mids wangeanza mbele ya hao manguli..no wonder EPL teams fell off miaka ya 2010's kwenye UCL kwasababu ya recruitment mbovu ya viungo..

Midfielders ambao ni stand-out kwenye PL.kwasasa ni Kante, Dembele na Fernandinho. Thats a fact.

No bias, But Gueye (Everton), Pogba (utd), Gundogan (Man City), Xhaka (Arsenal), Can (Liverpool), Højberg (southampton), even Dier (Spurs)..wote hawa wanaweza kuja kuwa stand-out Mids kwenye PL..depends on how they'll be managed. But my bet is on Gueye (should use Everton as a stepping stone).


Kessie
Diawara
Jorginho
Paredes
Kampl
Keita
Weigl
Dahoud
Serri
Cyprien

hawa wote ni younger Mids kwa Henderson, and any World class manager would start them ahead of Henderson.
 

Hendo will be there 2019/2020 season as our Captain!He's very good players now
JK kambadilisha sana Hendo and am proud to have him as my Captain
 
Wengine bado tunasubir ushindi wa ligi kuu ili kuwakata watani wetu mdomo
Maaana ni umri wa mtu mzima kabisa hatujaona epl cup
 

Kloop does not rate Henderson. Ndo maana alikuwa anatafuta Mids.

Yes, he has improved a bit (tofauti na last season)

but lets not fool ourselves, Hendo is a nothing player. He's average. He's not good enough for LFC, the worst thing is, man's a Liverpool captain.

i'll always cheer him pale atakapocheza vizuri (been doing this a lot). But honestly he's not good enough for us.
 
Hendo will be there 2019/2020 season as our Captain!He's very good players now
JK kambadilisha sana Hendo and am proud to have him as my Captain

klopp hajambadilisha kwa chochote Henderson, technically.

Henderson of 2013/14 was better than Henderson huyu wa sasa Technically.

alichofanya Klopp ni kumbadilishia role tu.
 
Mkuu upo deep sana. Sikujua kwa nini tulimuuza Alen kwa stoke wakati alikuwa bora kuliko hedo. Wakati mwingine huwa kuna makosa yanafanyika kwenye kuuza na kununua.
Ref ilivyokuwa kwa de Broyne na Lukaku. Kwa sasa ni lulu.
 
Uko vizuri sana pongezi
 
Hahahhahaha
 
Mkuu upo deep sana. Sikujua kwa nini tulimuuza Alen kwa stoke wakati alikuwa bora kuliko hedo. Wakati mwingine huwa kuna makosa yanafanyika kwenye kuuza na kununua.
Ref ilivyokuwa kwa de Broyne na Lukaku. Kwa sasa ni lulu.
JOE ALLEN alipewa nafasi sana LFC lakini uwezo wake bado ulikua mdogo mkuu...
 
Kloop does not rate Henderson. Ndo maana alikuwa anatafuta Mids.
I did not say he(Klopp) rates him.I said he likes him....his commitment.Hivyo vitu ni tofauti.Hendo is good in character...not good enough in playmaking.Sometimes coaches needs such characters....
 
Mkuu upo deep sana. Sikujua kwa nini tulimuuza Alen kwa stoke wakati alikuwa bora kuliko hedo. Wakati mwingine huwa kuna makosa yanafanyika kwenye kuuza na kununua.
Ref ilivyokuwa kwa de Broyne na Lukaku. Kwa sasa ni lulu.

Technically Joe Allen ni mzuri kuliko Henderson..playing style ya Allen ndo anayocheza Gini kwasasa.

ambacho Gini amemshinda Allen ni stamina na nguvu. Joe Allen hakuwa imara enough kufit kwenye heavy pressing ya Klopp. Alikuwa hawez kulast 75 minutes, ndo maana hata alipokuwa anaanza alikuwa anatoka dk 60, it takes a lot of consideration Klopp kufanya subs katika dk 60, (we all know Klopp is not a fan of subs)

factors ya Injuries za mara kwa mara pia, ilikuwa inamcost Allen, he was never fit at LFC..(kama Aquilan/Aurelio)..

he did very well at Swansea and now he's killing it at Stoke kwasababu both Coaches wa teams hizi wametengeneza team kumzunguka (he's the main Core)..kama sisi kwa Coutinho..

hii ishu ya "nguvu na stamina" nadhan pia ndiyo iliyofanya Klopp a-opt kwa Gini badala ya Zielinski..coz technically, Zielinski is much better than Gini, but he's just light-weight..ingemuwia vigumu kwenye system ya Klopp..Allen ni light-weight pia alikuwa hawezi kulast 90 minutes..

Klopp alikuwa hataki jamaa aondoke, coz alikuwa anataka amtumie kama impact sub msimu huu, but Allen wanted more game-time na Klopp alielewa..he's still young and he needs to play week in-week out..

am happy, he's doing so well at stoke.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…