Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

proven GK bila Good Coach ni kutwanga maji kwenye kinu.

you need to master all the the necessary Goalkeeping techniques to be called a Proven GK.
 
Hili ni suala la Coaching. Mignolet is Karius kaanza kupotea kwa kufuata instructions za Archterberg, Klopp can prevent this.

Kwenye hii coaching ya keeper kuna siku niliona wanatumia some technical za rugby under instruction of Klopp let me hope he can do better in future.



Watching Bundesliga a lot and i can tell you Karius is a vey good goalie.

Nimemuona live kidogo sana just 5-6 games akiwa huko.

Let me starting believing as you believe kwa Karius (little faith)nahitaji ani-prove wrong
 

niliona hiyo ya Rugby, lol.. Ndo maana nasema its not too late, Klopp anaweza kuzuia Karius kuharibiwa na Achterberg..

I remember kipindi kile we believed kuhusu Bobby together, and he's paying us off.. Lets have faith on Karius. Let him prove us wrong first.

Thats the Liverpool way.
 
Huku malivefool mbona kimombo tu. Ina maana wote waingereza ama. Ngoja nirudi kule uswazini kwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nenda jukwaa la madrid angalau hata ile mwangaluka utaikuta
 
D u kama uko deep nimekukubali
 
Kocha wa Cameron yupo katika jitihada za kumshawishi Matip ajiunge na kikosi chake kwenye mashindano ya AFCON mwakani ikitokea Matip amekubali basi atakosa game 4 za PL against Man u, Swansea, Chelsea and Hull city. Pamoja na semi against Soton na FA 4th round.
 
Hivi kwanini hakubakia na uraia wa ujerumani?????, kwahizo fixture kumkosa kama hatujapata beki wa maana mbona yatakuwa majanga maana tulikuwa na centre back mmoja tu lovren amekuwa exposed alipo-partner na Lucas ni bora combination ya Klavan - Lucas kuliko ya lucas - lovren
 
Ahahahaha
WHU atakiona cha mtema kuni
Najua umefurahi sana sababu wajua sasa kitakacho kukuta Anfield ni balaa kwako
Klopp anajua kua alikua ni Mwenye bahati kwa kukutana na Chelsea mapema. Lkn kwa muda hataki kabisa kusikia hbr za Chelsea.


January sio mbali itakua tarehe 31 yani lazima uumie vibaya.
 
Ndio matatizo ya kumtegemea mchezaji mmoja......
[emoji13] [emoji13]

Mnalia tu sasaivi.....
 
Huku nako uko Nonda[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]

Mentor njoo umuone huyu jamaa. Sasaivi kule kwetu hatii maguu.

Nonda bhana..... Ujibu Basi pm zangu........[emoji3] [emoji3]
Wewe nimekupa nafasi ufurahi kwa muda mfupi sana. Vipigo vitaanza tena karibuni. Vikianza nitafute, usiponitafuta, nitamleta Porofesa Manyaunyau akutoe darini utakakojificha.

 
Klopp anajua kua alikua ni Mwenye bahati kwa kukutana na Chelsea mapema. Lkn kwa muda hataki kabisa kusikia hbr za Chelsea.


January sio mbali itakua tarehe 31 yani lazima uumie vibaya.
Hadi January MAJOGOO yatakuwa yanakaribia kuchukua ubingwa wao!
Wewe hutoki Anfield
 
Good analysis MosDef.

Can't we just go out there and spend >100M quids on some marquee shot stopper plus one CD? That sort of moolah is too tempting for any club to let pass. Do that and we are at the top end of the pile come May.

Klopp has done a fantastic job to lift the level of the "wannabes" like Lalana, etal. Now time to plug those glaring holes by spending on a couple of marquees for those key positions. That's what all champions do, and I know Klopp is one hell of a freaking champ!
 

Klopp mwenyewe anatambua kuwa bado kuna kazi kubwa sana ya kure-shape ile team, but itamchukua zaidi ya transfer windows mbili kuweka kila kitu sawa.

Man City spent a lot of money kwa "Proven GK", Bravo kacheza competition zote kubwa za ngazi ya Club na Taifa, kadakia the most decorated club in the world, Barcelona, na amedakia kwa mafanikio akiwa na na very average defense tofauti na ile aliyocheza nayo Valdes kipindi kile, lakin Bravo alikuwa decent sana, ni very rare ungemuona anafanya silly mistakes pale Barca. But amekuja City, kawa garbage. Ikumbukwe kuwa Pep, decided to replace Hart kwasababu kwa muda wa misimu 2 mfululizo Hart alikuwa anastruggle sana pale City, alikuwa ni keeper mzuri but he had so many errors in him. But kaja Bravo nae anafanya same mistakes ambazo Hart alikuwa anafanya (sadly kwa Bravo imekuwa hovyo zaidi).. Ukiangalia kishabiki utagundua kuwa tatizo ni Bravo, but kiufundi tatizo ni coaching..Man city wamespend more than £120m kwa defense yao lakin wana-leak a lot of goals, kimsingi hawana good goalkeeping coach na defensive coach.

And, LFC huwa tunanunua Keepers wazuri tu, Migs was very decent at Sunderland (Very Decent) ni kama walivyo kina Butland au Rulli kwenye teams zao. Migs kaja kuharibika LFC, and sadly he'll always be shit kwasababu confidence yake ishapotea. Klopp alilitambua hilo, ndo maana akaamua kununua young goalie ili akue na team, chakusikitisha ni kwamba bado yupo na Archterberg.

kama tu kina Mane, Cou na Firmino ambao wamepewa uhuru na klopp pale mbele, wakivurunda tunamlaumu Klopp, kwann sasa Karius ambaye ana games 9 tu akivurunda tusimlaum kocha anayemsimamia?
 
To be honesty me bado nalia na Replacement ya Henderson kwanza ndo tuwaze big 4 Midfielder gani anamtegemea matip kua playmaker lol
 
To be honesty me bado nalia na Replacement ya Henderson kwanza ndo tuwaze big 4 Midfielder gani anamtegemea matip kua playmaker lol

Niwe Mkweli tu! Tokea Hendo na Lovren Kutuwa Liverpool Sikuwahi Kuwa na Imani Nao Katika Gemu...

Hoja Ya Wengi Kwa Hendo Ni Kuwa Katika Gemu Hupiga Complete Pass na Touch Nyingi!!!!!!! WTF.. Yule Ni Holding Midfielder Tutambue Hilo na Wala si Central Midfielder...
Tunaoweza Kuwaangalia Kwa Performance Za Pass na Touch ni CM Kina Can, Gini na Lallana! na Wala si Hendo...

Angalau Hendo Tumuangalie Performance Yake Katika Kucheza Zile Tackles ikoje???

Kukweli inaniuma Sana Kuona ""WITHOUT MATIP, HENDO IS NOTHING""
Jamaa Anachojua Ni Kutouch Mpira tu na Kupiga Pass Nyingi! Lakini Hile role Yake Ya Msingi Ya Kulinda haijui na hana uwezo Nayo Hata Kidogo... Inafika Pahali Hata Milner anapopanda na Mpira Basi Hendo Anashindwa Kumzibia Nafasi Yake na Kujikuta Milner Yupo Katika Wakati Mgumu Kurudi na Kumfukuza Adui..

He is a Shit Captain Good For Nothing... Siwezi Kukubaliana Na Half back Six isiyoweza Kukaba Hata Wale Average Midfield na Average Foward halafu Nikasema Nimpongeze Kwa Pass na Touch Nyingi...

Lovren Ndiye Msingi Mkuu Kwa Timu Yetu Kuconcede Magoli Mengi Msimu huu..... Yani Hajui Kulinda Wala Kumkaba Adui Hata Kidogo Kiasi Ya Kwamba Anamtegemea Matip Kwa Kila Kitu...

Na Kuhusu Karius na Migno! Basi Kwamimi Ninayemjua Minyi Kwa 98% ya Kila Gemu Ya Liver aliyocheza.... Basi Mtu Hanambii Lolote Kuwa Migno arudishwe Golini... Mfano Mdogo ikumbukeni Gemu ya Arsenal Tuliyowapiga Nne mara hii Migno Alitufanya Nini???

Migni Mistakes Zake Zipo Wazi Na Ni Ngumu Kukubalika...

Mimi Bado Nina imani Na Karius na Naamini Atabadilika...
 
N nakubaliana na we mkuu,natamani tuwe na viungo bora,creative na wababe kama kile kipindi yupo na maschreno,Alonso na Gerry,sasa hv tuna viungo laini Sana.kuhusu gk nakubaliana na wadau humu kwamba gk coaching Ni problem,nani alikuwa haujui ubora WA Reina,mkumbuke mignolet WA Sunderland,hats huyu dogo Marius Ni mashine ILA sasa wanaokana losers,archterberg hafai.....all in all we are Liverpool...ynwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…