Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HT kwa Sasa! Nahisi Hii Combi Ya Matip na Klavan Ni Bora Zaidi Kuliko Ya Matip na Lovren! Coz Huyu Klavan Anakitu Ambacho Ambacho Gerrald Pique Peke Yake Katika Ubora Wake Ndiyo Nilichomuona Nacho.

Yaani Jamaa Anakaba Na Anamiliki Mpira Vibaya Sana Katika Kuianzisha Move! Na Matip Yeye Ni Mzuri Zaidi Katika Ukabaji Na Kuanzisha Mashambulizi.
 
Inabidi tuchinje mtu 4 au zaidi....ile Liver ya 2008/09 inakuja kuja....Bravo JK.
 
Lakini Hawa Hull Wameshatuharibia GD yetu Coz Wameshatupia 1 na wao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…