Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Subs alizofanya Conte wala sijazielewa. Ngoja tusubiri tuone
tehteh nilikuwa natizama game ila dk mpaka ilipofikia 2-1 ndipo nikajificha huwezi amini niliona bet LFC to win 2-1 return 80 ila huwa LFC sijaribu ndio narudisha ch naona Klopp anatafuta kuumiza wachezaji vifua. Next Plz LFC YNWA! basi Hull yasiwe ya burnley.
 

Najua huwezi kubet Liverpool kushinda hata kama wakicheza na Yanga. Ila nimefurahi mmewafunga wa darajani. Klopp anawabadilisha kila siku zinavyokwenda.
 


Points 9 Nyengine Hizoo Ninaziona! Manyumbu United Wanamlaumu Conte Utazani Ni Kocha Wao! Wamesahau Kuwa Wao Ni Mou
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakati nilipotaka kuanza kujiaminisha kuwa leo wanaweza kushinda...wakanikumbusha kuwa wao ni majogoo wasiowika... hukawii kuona wanakuja kufungwa hii mechi
Jogoo shingo ngumu hajachinjika kavunja kidaraja na shetani naye akija Ashindwe na aregee LFC YNWA!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…