Hata Lovren ataanza Ijumaa
What as depth?
Lovren na Matip na mbele yao Can kama atapona au Lucas ataendelea
Mbele Dan atasubiri sabababu Coutihno atakuwa 100% fit
Na uchovu wake wa masaa mengi angani alipo ingia akaupiga mwingi sana!!
Matip tumepata mtu sana,wasi wasi wangu ni January yy na Mane wakienda African Cup of nations!Matip kazaliwa Germany lkn mmoja wa mzazi wake ni Cameroonian na anachezea team yao ya Taifa!Yy na Mane wakiondoka sijui itakuaje aiseeYeah.
Ijumaa, itakuwa ni Matip-Lovren, hakucheza jana kwasababu alipata matatizo kidogo Ijumaa kwenye training, so Klopp akamweka pembeni kabisa ili ijumaa awe fit. Nadhan J3 ataendelea na mazoezi kama kawaida.
Can kafanya mazoez kwanzia Alhamis..ila hakuwa match fit, so Ijumaa atakuwepo..Can, Hendo na Lallana ndo utakuwa midfield..ni vizuri amerudi Aisee.
Ijumaa, DS akianzia bench malalamiko kwenye vyombo vya habar yataanza tena, people wanatakiwa waelewe kuwa kwenye away big games, Firmino lazima aanze, hata kama hafungi lakin pressing yake inatusaidia sana, DS cant press..ndo maana Klopp anamwanzisha kwenye game za home. Na klopp anajua DS ni our important player na anajitahid kumweka injury free..but english medias kutwa zipo na LFC, zina agenda na LFC.
Matip tumepata mtu sana,wasi wasi wangu ni January yy na Mane wakienda African Cup of nations!Matip kazaliwa Germany lkn mmoja wa mzazi wake ni Cameroonian na anachezea team yao ya Taifa!Yy na Mane wakiondoka sijui itakuaje aisee
DS jana kacheza kama JK anavyotaka,hajakaa tu mbele kaja hadi nyuma kukaba na naona mabadiliko makubwa kwake ingawa kakosa bao la wazi sana!!
Ijumaa ataanzia bench!Lkn Ings tumem keep wa nn ikiwa hatuna mashindano yyt ya kimataifa?

JK ampe Lucas tena Ijumaa kumuinua morale kuwa that mistake was just a part of the gameMatip alifanya kitu ambacho nina muda sana sijakion kwenye defense line yetu baada ya mistake ya Mignolet-Lucas Matip haku-complain instead he applauded nikitu ambacho kilimpa moyo sana Lucas
Mane ndo alikuwa man of the match kwangu, he was constant threat kwenye lango Leicester jana. Wachezaji wetu wengine wangekuwa na fighting spirit kama aliyonayo Mane basi tunaweza fanya makubwa zaidi msimu huu
Baloteli kaenda ligi sahihi sana kwakeBalotelli destroying the farmers kwenye ligue 1.
What a shit league, full of part-time shoe shiners.
Stats padding league.
Eid Mubarak Everyone.
minalfaidhina ThanksEid Mubarak Everyone.
mie sina tatizo na Ballotelli kufanya vizuri kama alivyosema LfC alikosea kuja na LFC ilikosea kumleta! Ballo sio mchezaji mbaya mambo yake ndio anajiangusha mwenyewe tu watu hata hawamuangushi akitulia na akajirekebisha yake tulioyasema basi ni mchezaji mzuri.Baloteli kaenda ligi sahihi sana kwake
Kule ataongoza kwa ufungaji mabao
Ataitwa back "Azzuri"
Anataka sana acheze WC Russia 2018
Taqabbal Allahu minna wa minkumEid Mubarak Everyone.
Lucas anadai ile siyo mistake bali ni first assist yake ndani ya miaka 10 [emoji2] [emoji2] ... JK naye akam-praise eti ndiyo man of the match [emoji23]JK ampe Lucas tena Ijumaa kumuinua morale kuwa that mistake was just a part of the game
Lkn ni ngumu sana kuanza kama Lovren na Can watakuwa fit
Lallana anatarajia kusign mkataba mpya ....
Jana nilikuwa nacheki marudio ya game vs the foxes nikagundua kuwa Anfield sasa inatumia nyavu nyeupe nimetafuta sababu sijapata kuna yoyote anajua reason behind?