NO, HE'S NOT.MosDef whats ur take on mane..is he good enough?
Dahoud anacontroll midfield bora kabisa like fabregas season 2006-08 nadhan ndie mtu sahihi kwetu kwenye midfield kwa sasa zaid ya zielinsk
WELL SAID MAN..Dahoud anacontroll midfield bora kabisa like fabregas season 2006-08 nadhan ndie mtu sahihi kwetu kwenye midfield kwa sasa zaid ya zielinsk
Naona wengi wanachanganya kuhusu zielenks & Dahoud yapasa wajue players tofaut kabisa
Dahoud ni specialist number8.
Zielinsk ni versatile anacheza positions tofaut pia ujio wa zielenks kuja kuchukua nafasi ya Lallana na milner na sio kuja kucheza kwenye mildfield
dahoud- Gundogen
Zielinski- nedved
Hao wote wanaweza kucheza pamoja..ila yule jamaa wa liver peace anasema we cnt sign both coz hatuna games nying next season
Anyway we need a CM who could give Coutinho that bit
For 25m i think we could do alot better.. my preference would be either fekir or boufal but Boufal is good. . But nahisi at times he's missing this eagle eye and his decision aren't greatNO, HE'S NOT.
tuna tatizo la "INCONSISTENCY" kwa Coutinho and Firmino tayari..
Mane is unplayable on his day, but Consistency is an issue Aisee.
and for the quoted price? £25m? No Aisee..tunaweza tukampata Rafa silva kwa kiasi kidogo tu..
And hiyo ishu ya Mane nadhan ni Club ndo wameileak manake ilitoka straight kwa PAUL JOYCE jana..maybe ni smokescreen? au ni kuiamsha Kambi ya Gotze na Bayern?? manake sisi tunawatumia PAUL JOYCE na ECHO, Bayern naona wanawatumia BILD na KICKER kuleak ishu za Gotze..
Afu si unajua Rodgers alimkataa Mane kipindi kile, alikuwa anapatikana kwa £10m tu..
Ishu ya Gotze hakuna mtu anayeijua at this point..For 25m i think we could do alot better.. my preference would be either fekir or boufal but Boufal is good. . But nahisi at times he's missing this eagle eye and his decision aren't great
Pia Inasemekana bayern wako teyar kuuza gotze for less than 20mln...hawamtaki..sijui anang'angania nini?au anataka loyality bonus
some rumours kua hii story ya mane is planted ili kumforce gotze afanye uamuz haraka...
Ila jamaa anatakaga cheap good players to mould them into stars na wanakuwa na connection na mashabiki kuhusu Gotze siungani na club napendekeza coric thn tunamtoa mkopo tena afu next season ana join
Japo sijamuona sana lorient...ila ni vigum kwa young fullback kua very strong kweny kushambulia halaf wakawa solid defencively...kweny utube anaonekana kama winger kabsWe bid for Guerreiro (sidhani kama nimepatia jina)..... Ballo return ... Skrtel off bestikas interested
naona kama time is running out, hatupo peke yetu kwenye Transfer market..Yes dude bt tuna uwanjani mpana wa machaguo bado
Lol huyo ni Moreno 2.0Japo sijamuona sana lorient...ila ni vigum kwa young fullback kua very strong kweny kushambulia halaf wakawa solid defencively...kweny utube anaonekana kama winger kabs
DribblingMatip, Grujic and Karius in the bag, now get Another CB, New LB, CM and a PACEY winger. then we can compete next season
Zielinski may NOT happen at this stage, i think tunasubiria kwanza response ya M'gladbach kwa Dahoud..
Kama tukimsign Dahoud then hatutahitaji tena another Mid, but kama ikitokea tukamsign Zielinski tutahitaji Mid mwingine pia..Zielinski peke yake hatatosha..
But Dahoud is exactily what we need..Super talent..
Chilwel? Mashaka mashaka tupuLol huyo ni Moreno 2.0
Mzuri katika kushambulia BUT he's shit kwenye kudefend..
Chilwell and Hector are BETTER.
YEP YEP..Dribbling
Tackling
Interceptions
Bullying
Anahitaj kuimprove tackling tu grujic ili awe top defencive midfielders naona mpinzani wa can next season pia umecheki youtube ya grujic Kaongea kiutan kua he will thrash his teammate...yani wasitegemee anakuja kukaa bench
LOL, itabidi tufanye party humu, tukifanikisha deal ya Dahoud..tutakuwa tume-sort kila kitu kwenye Midfield yetu..KILA KITU yaani.Teh image can /grujic akicheza na controlling midfielder kama dahoud tutakua sawa zaidi kwenye mildfield
Kazuri sana..Chilwel? Mashaka mashaka tupu
Yeah, Sticks zote tunazompa Milner, but to be honest anatakiwa kubaki, and Klopp likes him sana..MosDef unaonaje pale liverpool yafaa Muingereza abaki milner..wambadili awe fullback asaidiane na clyne..tuwape mwaka mmoja halaf tunawareplace with next german fullback.?
Mi naona bora hector....huyu jamaa ataimprove sana defence yetu...he is really solid kweny ukabaj na hata kweny setpieces..halaf kwend mbele he is better kuliko hata moreno. Plus he is german first choice lb...plus he is tall and strong...plus we need more germans Plus he can play as midfilder goodly than Hendo emoji[emoji23][emoji23][emoji23]Kazuri sana..
Form ya Fuchs tu pale Leicester ndo ilikaweka Bench..but kapo Vizuri sana and nadhan tutamsign yeye na Jonas Hector..