Let's wait for the final whistleKaanani yeetu,ile pale..
YNWA
Let's wait for the final whistle
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Sasa naanza kuielewa ile maana ya wakimataifa na wamatopeni.
Good game,japokuwa tulitakiwa kuimalizia spain hii game. Klopp acha kutupa heart attack bwana.
YNWA
Sasa tumeingia kanaani
One more game turudi UCL aaaaaaaaaaaaaaaaayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya yyyyyyyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAma kwa hakika,tena salama bila misukosuko.
YNWA