Sub ya ibe haikuwa na faida yeyote, Villarreal's form was poor unashindwa kumuingiza hata benteke acheze mipira ya vichwa.Bora. Tutajifunza kitu.
Hii ya Kloop atake asitake.
Bring back our Rodgers lolHatujui kulinda lango hata siku moja... Anfield watakuja ila safari hii itakuwa kazi Away goals zinatisha. uoga wetu umetuponza Villareal hakuna walichofanya LFC tunatakiwa kuwa kwenye best ndio tushinde, Ibe sooo Lazy ila tutashinda.
hihihi,wake up it's morning u r dreamingBring back our Rodgers lol
Sijui klopp alikua wasap au vipi haoni game,..tungeshinda hata 4....!!!Wat was the objective today?...ku lose with a few goals au ku draw...hata sielewi kabisa...hii inauma sana...hapa ndo ingekua timu nyingine tie ishaisha...ferguson au mourinho hapa anakuingizia double sub ndani ya dakika 5 goli...ila ndo ivyo...samahani kwa kumtaja babu humu but ndo ukweli wenyewe!
I told you [emoji12]Tutajua nani anaota
tehtehtehtehteh Hata siku moja katika watu bring Back Hodgson na Rogers hawapo ila Klopp leo angeweka ma Striker mapema wale tungetandika 3 sasa tumejipa KaZi ya Halftime tuwe 2-0 na tushinde 3-0 au 3-1 Anfield.Bring back our Rodgers lol
Sub ya ibe haikuwa na faida yeyote, Villarreal's form was poor unashindwa kumuingiza hata benteke acheze mipira ya vichwa.
Tumepoteza nafasi, kama tungeshinda leo our job would have been easy at anfield
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Cipha kaanzisha kampeni ya kumrudisha BRtehtehtehtehteh Hata siku moja katika watu bring Back Hodgson na Rogers hawapo ila Klopp leo angeweka ma Striker mapema wale tungetandika 3 sasa tumejipa KaZi ya Halftime tuwe 2-0 na tushinde 3-0 au 3-1 Anfield.
They have only luckyI told you [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] , they might be poor today ila siyo second leg kwetu. Wanaweza kutufanya kama walivyofanya kwa wale waliyowatoa robo final kwa kuwapiga 6 away.Sooo true...poor villareal...nasubutu kusema hawa jamaa hawatishi kabisa...tactics zetu tu
Sorry lads but I must say this "f*ck" Klopp, firmino nimemuona alipogongesha mwamba tu
Poor finishing, hii game tulikua tunashinda more than 4 goals
What a coincidence Migs do a save
F*ck Moreno too
Akiingia sturrage ndiyo atafunga au?Nimecheka sanaaa...mana thats wat I said about klopp when the game ended, but I didn't want to post it hear hahahahha...I wonder wat carragher would be saying now after his half time twitter post about why klopp hamuingizi sturridge or a striker to that fact
Na liver wangetulia wangefungwa bao ngapi?Villarreal wangetulia walikuwa na uwezo wa kushinda hata bao tatu
tehtehtehtehteh Hata siku moja katika watu bring Back Hodgson na Rogers hawapo ila Klopp leo angeweka ma Striker mapema wale tungetandika 3 sasa tumejipa KaZi ya Halftime tuwe 2-0 na tushinde 3-0 au 3-1 Anfield.