Hihihihihihiiihhhiihihihh,.alafu co kupigwa tatu tyuu 3-0,tulipigwa kipuuz puuzi na kitoto toto kwa ajili ya bogdan since there ana enjoy kuchoma mahindi tyuu...Wachezaji kama kina Bogdan wale, Klopp atakuwa anashangaa sana wamefikaje Liverpool..
nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunalia Migs apigwe bench adake Bogdan, bwana Bogdan akapewa nafasi ile game dhidi ya Watford, hahahaha, Tukapigwa 3-0..hahahahhahaha..
Kiukweli, KloppEffect ni kubwa. Sasa hivi tunapiga mpira mkubwa sanaaa na inconsistency imepungua kwa kiasi kikubwa.
hata Migs anafaa kuwa chaguo la pili kipindi cha usajili Ter Stegen anafaa pale anfield.Hihihihihihiiihhhiihihihh,.alafu co kupigwa tatu tyuu 3-0,tulipigwa kipuuz puuzi na kitoto toto kwa ajili ya bogdan since there ana enjoy kuchoma mahindi tyuu...
kwa haraka haraka ndilo jibu,..ila ukiangalia mchango wake ni mkubwa sana as a striker...kuumia kwa Origi sio pengo kubwa kwetu linazibika
hilo kweli lakini hamna jinsi kwa kuwa imeshatokea isipokuwa naomba awepo mech ya final ya europa league.kwa haraka haraka ndilo jibu,..ila ukiangalia mchango wake ni mkubwa sana as a striker...
Good good news...pia nimesiki klopp kwenye mahojiano anasema alimuona origi akitembea, although hata yeye klopp alionekana ana hamu ya kujua hali yake...lets wait and see...we arw not saying Origi is everything but we need the best squad fit to finish the season with the momentum and the europaRipoti ya uchunguzi ya mwanzo inasema Bahati nzr kua Origi hajavunjika mfupa wwte japo wanaendelea kujua kwa kina maumivu aliyopata
Especially Toffies, leo jiji la Liverpool litakuwa na hekaheka mno pale MerseysideANYW nafeel fresh sana kuona na leo tumempiga mtu viva lfc
Hatumshuahi kwa wema na mazuri aliotufanyia tutampa point 3...kwani tukichukua hizo point tunaenda wapi kwa mfano lakinijumamosi Benitez anatufuata Anfield tunamshusha rasmi daraja.
Football ya uingereza haina huu uswahili wa kupeana point mkuu. Halafu hujui bado faida ya timu kumaliza kwenye higher positions EPL? Ukiacha record kuna mpunga mkubwa kuliko anayemaliza in a lower position. Lakini, vile vile huoni mbio iliyopo kati yetu na manure na west ham pale kny position ya 5? Zaidi ya hapo, we are only 6 points behind top four spot.Hatumshuahi kwa wema na mazuri aliotufanyia tutampa point 3...kwani tukichukua hizo point tunaenda wapi kwa mfano lakini
A first choice striker kuumia ni pengo mkuu. Sema we have a decent replacement, but uwepo wake unatoa an alternative dimension.kuumia kwa Origi sio pengo kubwa kwetu linazibika
Jirani yupi vile?Jirani lazima apigike