Man utd, spurs, City etc wote wamedrop points jana, badala ya kucaptalize, unapoteza, tena kwa Newcastle, Klopp lazma ujue Hawez kushinda title ya EPL kama ataendelea kupoteza game za wazi kama hizi..
hawa jamaa walijisifu sana leo kimya"What worse is LvG will just warm his
seat,won't scream at plyrs" Klopp did all
the monkey antics on the touchline, they
still lost 2 - 0
naona jogoo kachinjwa leo
Huwa tunasema kila siku EPL sio ligi nyepesi,ngoja tuone hiki kipindi cha sikukuu ataperform vipi.Haya mambo hayapo Spain,Italy au Germany
"What worse is LvG will just warm his
seat,won't scream at plyrs" Klopp did all
the monkey antics on the touchline, they
still lost 2 - 0
Kabanikwa kabisa, kichwa na miguu wanatengeneza supu
Leo yamekuwa hayo....my kaka Nzi njoo uone huku......
Sielewi Allen anachezaga kitu gani.
Hili sijui kwanini JK halioni kabisa
Kabanikwa kabisa, kichwa na miguu wanatengeneza supu
Klopp kazingua leo, tena sana tu, na nilisema hapa jamaa itabid ajue tuna games 5 tu kubwa, last week we struggled to beat Swansea at Anfield, jana kafa 3-0 pale Liberty Stadium dhidi ya Leicester, leo hii tunakuja kufungwa na Newcastle 2-0, inamaana kila siku tutakuwa tunastruggle kuzifunga hizi teams, and tuna WBA, Watford, Leicester na Sunderland, kwa mtindo huu tutegemee nini?
hakuna point ya kuifunga City bao 4 kama tu unakuja kupoteza dhid ya Newcastle na Crystal palace..
osokonoi wewe unaangalia mpira, hautahitaji jicho la 3 kujua kuwa Benteke, Firmino and ibe combo yao haitakuja fanya kazi..
Leo nimeumia sana...sema ndo kawaida ya LFC kupoteza nafas kama hizi..
Hahahhaha mtani leo naona umejikaza kucheza ngoma nasi......karibu uwanjani tulisakate......mi naona tulijiselfie na Newcastle. ...Ahahahahaha
supu ya utumbo tu
ha ha ha ikiwa tayari niite nina ndimu na pilipili kabisaTeeehe teeeeh
Hahaaaa mtani ..... Haya sasa ekotite..
hawa jamaa walijisifu sana leo kimya