SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Dah raha jamani rahaa
Tatizo ni hiyo nusu fainali tutakuwa anfield......mahali ambapo hapatupi matokeo siku za hivi karibuni
Watupe tu EPL yetu mapemaaaaa
kumbe wahanga wa br wengi sio sterling tu, huyu dogo Brad Smith naye aligoma kusaini mkataba mpya chini ya br lazima sababu ile 3-5-3 nafasi ya kupata nafasi kikosi cha kwanza ilikuwa finyu.
wakala wake aligoma dogo kusaini kuongeza mkataba akiamini lfc sio mahala sahihi kwa kijana kuimarika.
amefanya majaribio kipindi yupo nje ya mkataba lkn liverpool kwa kumtambua kama mtoto wao kipindi chote ambacho mkataba uliisha waliendelea kumpa mshahara wake.
mwezi novemba ndio wakala wake akawasiliana na liverpool kuuliza kama mkataba bado upo mezani, amesaini mkataba wake na klopp akamchukua moja kwa moja kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza na anacheza mechi yake ya pili ya ushindani usiku kuamkia leo kwa kishindo.
Shortly after taking over, rather than responding to questions on the potential January transfers with a list of names and positions to strengthen, Klopp replied:
?Sometimes I feel I?m the only one in this country who believes in training, only others believe in transfers.?
Umeanza ndoto zako Khaa.....lol
Hongereni sana best zangu my kaka mwenyewe Malafyale Ed n Edd nEddy mak89 Asprin Manga ML Pazi #AllLFCFans
Umeanza ndoto zako Khaa.....lol
Hongereni sana best zangu my kaka mwenyewe Malafyale Ed n Edd nEddy mak89 Asprin Manga ML Pazi #AllLFCFans
Ahsante sana shemejiiiiiii
Tarehe za kuhesabiwa zimefika!!!
Dada yangu NAJUA unayaogopa sana MAJOGOO!Umeanza ndoto zako Khaa.....lol
Hongereni sana best zangu my kaka mwenyewe Malafyale Ed n Edd nEddy mak89 Asprin Manga ML Pazi #AllLFCFans
Manyumbu hawawezi kuja humu tena