He is not good for out team any more
We need buy a top striker and forget about Glassy Boy
mkuu,, Klopp needs to start afresh... yule mngese BR ruined our teamCOUTINHO rumours za barca znamchanganya sana, dogo anacheza chini ya kiwango sana,
mkuu,, Klopp needs to start afresh... yule mngese BR ruined our team
If kumuuza cou kutaleta Reus, Gundogan au Aubameyang, so be it!!
The last thing Klopp needs ni kuwa na mtu asiyetaka kuwa liverpool
I do also doubt how Cou fits into Klopp style, he seems to have one too many touches
Coutinho anafit vizuri kwenye mfumo wa klopp, lile tatizo lake ya kuwa off-form kwa muda, naona limerudi, nmemuanglia dhidi ya Spurs na jana dhidi ya Kazan, anaonekana hafurahii kucheza na Origi, but ndo STAR wa team kwasasa anahitaji kustep up no matter what..
Naskia kuna strong interest kuhusu Gundogan, but i doubt kama January atamove, yupo mwishoni wa mkataba wake, summer anaweza akamove free, so sioni Dortmund wakimuachia aondoke hivi hivi hiyo summer, so klopp itabid achezeshe karata zake vizuri..
Lol, juzi nikaona Marrota (Juve's chief executive) anasema tumetable offer kwa Marchisio, he's 29, au FSG wame-i-minya ishu yao ya "umri"??..unahisi ni option ya Gundogan for January??
Mkuu,
Marchisio yupo kwenye deep form sasa, i think we need a stable holding ili kuruhusu henderson na Emre kuwa free, sijui ni nani anafaa kwa sasa although my preference ni yule dogo wa ureno
I would definitely see Joe Allen, kuondoa deadwood na kumrpomote Rossiter, he seems to be a real gem