barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Duh! hongereni, naunga mkono, beki pale ni Sakho tu, Sakho yupo quick anahitaji beki wa ku-compliment nae, Klopp amshawishi Hummels au Subotic aungane nae.Mkuu
Zaidi ya Sakho sijaona beki ya kubaki pale utawala wa mchawi wa soka Klopp!Maana Klopp ana amini beki na viungo ndiyo wanakupa ubingwa!Sioni tena nafasi ya ajina Henderson hapo ataleta wake
CC Pazi
waiting for somebody to upload the press conference....fvck LFCTV.
LFCTV ina shida gani kwani naona unaipondaponda sana
tell me about DEPAY mate..