Hahahahahahahah!!! We've got a lot of deadwoods kwenye club yetu...tushazoea though
Baloteli akawe mwanamitindo tu.
Tunahitaji tusifungwe hadi halftime na pressure itakuwa kwao so watafanya makosa hapo tutawachapa!!
Team imetulia so far
Jameni johson anatukomalia balaa
Jameni johson anatukomalia balaa
Umeona ee? Ana hasira na chama lake balaa
Tunahitaji tusifungwe hadi halftime na pressure itakuwa kwao so watafanya makosa hapo tutawachapa!!
Team imetulia so far