MB alikubali kukatwa pia mshahara ili kujoin LFC, so hapo ulikuwa ushakatwa tayari..
Team yetu ni team ya 9 kwa utajiri duniani(Kutoka ripoti ya Forbes leo)kweli target yetu iwe Milner?
Milner atatuvusha huyu hata nusu ya Diaz?
Ukiona report ya leo si unaweza kufa kabisa,
Tupo katika "world's super six football clubs" but am certain kama itaendelea hivi next season tutashuka, coz sahiv tumepitwa mauzo ya jezi mpaka na chelsea ndugu yangu..
Daaah majanga haya
Borin anakunja zaidi ya Can
Johnson anavuta zaidi ya Sakho
Ibe maskini ana 10,000 tu
Nina laani Hendo kuvuta zaidi ya Coutihno
Sitaelewa kama Raheem atavuta zaidi ya Cou
Na aliyekuwa anatubeba kwenye jezi ni SG sasa anaondoka!Hopeful kocha mpya atazuia SG kuondoka amfanye kocha msaidizi
Kipigo cha jana Munchen nina uhakika watamfukuza Pep na atadakwa na Man City na sisi tutakuwa sole contender kwa kocha Klopp
IBE, analipwa kama wenzake kina Dunn, Brannagan, Teixeira, stewart etc ambao wana proffesional contract na club, lakin katika mkataba wake upya atakaosign hivi karibuni, ataanza kulipwa 35K,
QPR walikacha kumsajili borini usajili uliopita coz he demanded 90k per week..but anaondoka summer hii..
Mkataba wowote ule atakao-sign Raheem, lazma uwe na value kubwa kuliko wa Coutinho, and I can see him signing a new deal mwisho wa msimu, coz man city are in for Pogba, watashindwa kwa Raheem kwasababu ya FFP,
Why Hendo na Raheem wale pakubwa zaidi ya Coutihno wakati output yao haifikii hata kuikaribia ya Coutihno?
Hii imekaaje MosDef ?Je haitaleta conflict kwa hawa wachezaji akiwemo Emre Can anayecheza vyema sana anakula $55,000?
Kopites wenzangu na-enjoy sana analysis zenu kuhusu eneo la usajili. Dah, watu mko vizuri aisee!
Lakini mbona kwa kiasi kikubwa focus yetu inaonekana ipo zaidi kwenye strike force? Ni kweli limekuwa tatizo letu msimu huu lakini je ni KWELI ndiyo tatizo letu la msingi, tactically speaking?
Mimi naona approach hiyo inaweza kufanana na kujenga nyumba kwa paa la marumaru za nguvu huku msingi wake ni wa chokaa, au nakosea wajameni??
Binafsi nadhani.... pamoja na juhudi za ku-strengthen strike force, hilo lingeenda sambamba na pengine kwa nguvu zaidi kupata walau established CB mmoja na midfield anchor (established) mmoja.
Tulikuwa na tatizo kwenye backline yetu msimu uliopita wakati tukiwa na SAS yetu - tukajikuta milango yetu yote mbele na nyuma iko wazi (tulifunga mengi na tukafungwa mengi vile vile!!) na ninaona bado tatizo hilo halijaisha badala yake liko compounded na mauzauza ya kuondoka kwa SG na kuboronga kwa Lovren.
Remember.....attack wins you games but winning titles hinges on defensive solidity and this has been proved time and again.
LFC fans wanapenda sana kumoan, imagine moaning for missing out on Depay?? Yaan Depay!!! Seriously??? As if ndo angesolve problems za LFC kwa namna yeyote ile, if sterling is staying, Depay wanini?? Another potential player...we need establshed players upfront, Establshed DM and RB, asa unasign Depay, then una Benteke na ings utakuwa umeongeza kipi???
sisi ni mabingwa kwa kutekenya... then wengine wanamaliziaJanjaweed, I heard that tumeBID kwa Kovacic, and the funny thing is tumebid €10m, hahahaha!! Yaan Kovacic unabid kwa kiasi hicho??? Na ndo aina ya mchezaji ambaye tunamuhtaj sana kwenye kikosi chetu..
Sturridge OUT for FOUR MONTHS, ni mpaka mwezi wa 9, so atakosekana mwanzo wa msimu.
sisi ni mabingwa kwa kutekenya... then wengine wanamalizia
Liverpool aka wazee wa foreplay; wengine waje kupiga tu
Kila siku nasema dawa ya Sturridge ni kumuuza tu.