Naskia kwenye twitter wanamwita Ban Ki Moon... mzee wa porojo za kidiplomasia
Kajamaa kanakera fulani... Mignolet was outstanding katuokoa, otherwise huko mbele ilikua ni kimbia kimbia tu bila aims wala strategies
Get rid of the mazafanta, size yake ni mid table clubs, aende akachukue uzoefu huko, hata Gary Monk anafanza vizuri kuliko Ban Ki Moon
Yeah right buddy, get rid of de mazafanta... na ukifukuza chizi basi fukuza na makopo yake, kick him out with his mazafarting jameikan bleach boy
Kuna kipindi ilizungumzwa tatizo ni uongozi kuwa wanaongoza timu kwa kuangalia maslahi yao binafsi tu,tukafika mbali zaidi tukitaka timu yetu iuzwe kwa Arabs ama Russians. Sasa tunamuona tena kocha hafai (japokuwa tangu tulipoanza kufanya vibaya mwanzo wa msimu nilihitaji sana aondoke). Inabidi tuliondoe kwanza tatizo sugu ambalo kwangu mimi ni kocha, hili la uongozi litaondoka taratibu timu itakapokuwa inafanya vizuri. Kwani msimu uliopita tuliofanya vizuri uongozi haukuwa na tatizo?
Kocha huyu huyu ndiye aliyefundisha msimu uliopita na ni huyu huyu anayefundisha msimu huu, na matatizo yake still ni yala yale. Kwanini basi tusimlete kocha mwenye jina na ambaye ana uwezo wa kusimamia maamuzi yake kama ilivyokuwa kwa Benitez?
Nadhani Brendan anahitaji kupumzika kwa sasa, alipotufikisha panatosha sana haina haja ya kutupeleka kwenye msimu mwingine wa 25 sijui bila hata kikombe cha ligi!
Mkinikosoa pia itasaidia maana kwa sasa kama nimepanic flani hivi.
"Nlikuwepo":bolt:

Maneno kama hayo juu ndio utajuwa tofauti Ya manager wa timu za chini Kabisa, manager wa timu za juu hawi na fikra hizo Kabisa anaongea kama Manager wa zile timu coach unafungwa mpaka sababu za kujibu mpira ukiisha huna... Mwengine a harry Rekdnapp anataka kufundisha Liverpoolfc Huyo akipewa ndio nitawacha Kuwa mshabiki wa Mpira Kabisa. Brendan Rogers kwanza wachezaji wa kigeni kuja kwajili yake sio rahisi labda awe player ambaye bado hajulikani Mfano Emre Can zaidi Ya hapo wa nje kaja ballo sababu kacheza EPL sawa na Moyes alipata Tabu kuleta mchezaji kutoka nje Ya nchi ambaye maharufu, Bora ma Manager wakubwa wa kigeni.Rodgers bana, sikujua kuwa ni mpuuzi kiasi hiki, ona shudu hizi:
‘I need to build a team that can get through the rough waters as well,' he said. ‘We need a team that can get through the smooth and the rough.'
'Three months ago I was a tactical genius, performing to a good level,' Rodgers said. ‘We lost a couple of games, some important games, and now you're not so good. But that is football, that's what will happen, people will speculate.'
Kajibiwa vizuri sana na Nicol mpaka nimecheka, lol
‘I'd love to know who was calling him a "tactical genius,"' said Nicol. ‘When was he a tactical genius?'
Missed you bro!
Owners were a problem, Gillet and Hick really spoofed us, na wakaondoka, FSG ni wazuri
Kuhusu BR, we must admit, Luis Suarez covered Br's ass a lot last year, sasa hivi kawa exposed
He can change style, he cant motivate players and he is not honest with himself
Hivi unadhani nani atakubali kuja kucheza chini yake? sometimes players play for big names (Marquee) managers, and Klopp fits the bill
We'd rather lose 5M signing a great manager and pay him more, but he can attract top players for our success, rather than keeping a manager that will sign signing mediocre and make us lose european and global market
Teh teh teh teh sicheki kwakuwa ni mazuri ila maneni yako haya lol...Yeah right buddy, get rid of de mazafanta... na ukifukuza chizi basi fukuza na makopo yake, kick him out with his mazafarting jameikan bleach boy
His performances were more entertaining...
Klopp will not be with BVB next year, wameshatangaza na mrithi wake kapatikanaNadhani klopp bado hajasign mkataba mpya na BvB,ila kwa pale kwetu kumchukua sidhani kama watamchukua na kwa muono wangu naonackama BR anatuongoza tena.
I hate this kwa kweli..
"Nlikuwepo":bolt:
Klopp will not be with BVB next year, wameshatangaza na mrithi wake kapatikana
Jana Klopp met City officials - hatujui kinachoendelea, Bayern wamesema Klopp is an option
Sisi bado tunambwelambwela na mr. we played brilliant
Ukimpata Klopp unapata na bonus ya Ilkay Gundogan