Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Duuh...kwa hiyo BR kakubali kufanya kazi chini ya DOF?

Na huyo DoF anayekuja ni wa maana au ndo walewale?
 

Mkuu huyu bado tunaye sana tu, terms and conditions anazofanyia kazi yeye na hawa wahuni FSG hakuna kocha mzuri mwenye akili anayeweza kukubali ku deal nazo. Ndio maana hata yeye uipenda ile kauli yake ya kua Yeye ndiye manager bora kuifundisha LFC, wakati kihalisia hakuna mafanikio ya maana ya kumfanya kuongea kauli nzito kama hii

Brendan Rodgers : "There's no better manager for Liverpool than me"
 

Siku moja kabla ya Daglish kupigwa chini, pearce na Ben Smith wote walisema Daglish's job is SAFE.

Mpaka June tutakuwa tushajua maamuzi ya FSG, but after spending €120m kwenye usajili, msimu wetu haukutakiwa uishe mapema namna hii, got knocked out in the Capital 1 cup, UCL, EL, FA and jana tumezika kabisa hopes za kumaliza Top4. Owners wenye akili, sidhan kama wanaweza kumuacha Manager wa namna hii.

Give him another season, and he'll turn this 9th richest Club in the world into A MID-TABLE TEAM, like Newcastle and Aston Villa.
 
Brendan Rodgers insists Champions League qualification is still a possibility for Liverpool despite 0-0 draw at West Brom

Source : Dailymail

 
Duuh...kwa hiyo BR kakubali kufanya kazi chini ya DOF?

Na huyo DoF anayekuja ni wa maana au ndo walewale?

Naona kafanikiwa kuwaconvince FSG kuwa tatizo ni kina Fallows, manake siku hizi haipiti siku bila Pearce kuandika Articles za kuiua committee kwenye LiverpoolEcho.

Monchi ni bonge la DOF, nlikuwa namlilia tangu mwanzo, he just turned down Barca hapa juzi kati, nadhan anatufaa sana jamaa tena saana.

But Monchi and klopp ndo ingekuwa mzuka zaidi.

Afu managers kibao wanazid kuwa Available mwisho wa msimu huu..

Klopp
Carlo Ancellot
Rudi Garcia
Unai Emery
DeBoer
AVB
Benitez

But klopp OR Emery we'll be perfect for the Job imo, we can't lie to ourselves kuhusu Carlo LOL, IT WILL NEVER GONNA HAPPEN under FSG

There's more chance of Francis Cheka beating Mayweather than us signing Carlo Ancellot.
 
Brendan Rodgers insists Champions League qualification is still a possibility for Liverpool despite 0-0 draw at West Brom

Source : Dailymail


BR will be a perfect man for Man city.

Hahahahahahahahahah!
 
Hivi kumbe Ramon yupo yupo tu.
 

Mkuu, nimeipenda jinsi ulivyowa-describe FSG. That's exactly what they are......WAHUNI!
 
Brendan Rodgers insists Champions League qualification is still a possibility for Liverpool despite 0-0 draw at West Brom

Source : Dailymail


BR ni kama hataki Liverpool icheze CL!Teams hizi za Manchester viwango vyao vipo chini sana jamani

Liverpool tunashindwa kweli kucheza CL kwa kiwango kama hiki cha Man United hapa na Everton?
 

Kule Sevilla amefanya makuu sana. FSG wafanye mambo aiseee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…