LIVE:Yanga VS Black Leopard CCM Kirumba

LIVE:Yanga VS Black Leopard CCM Kirumba

Mama yangu Tegete anamlamba chenga kipa wakati anajiandaa kufunga mpira unaokolewa na mabeki.dakika 64
 
Mama yangu Tegete anamlamba chenga kipa wakati anajiandaa kufunga mpira unaokolewa na mabeki.dakika 64

There are currently 116 users browsing this thread. (15 members and 101 guests)
Wote tunasubiri updates, mbona kimya ?
 
Kavumbagu anakosa bao dakika ya 82,anapiga shuti akiwa yeye na kipa,kipa anapangua na kuwa kona ambavyo inashindwa kuzaa matunda mazuri,twende kazi.
 
Kamanda dakika ya 83 yanga 2-1.
Asante. watu tumeacha shuhuli zetu tunafualilia hii live update from kirumba.
yanga bana sijawahi juta kwa kuwa shabiki wa yanga.
yanga Imara , simba makopo
 
Paka weusi wanakosa goli hapa,Bathez anacheza na kuwa kona,ambayo anaiokoa tena.
 
Asante. watu tumeacha shuhuli zetu tunafualilia hii live update from kirumba.
yanga bana sijawahi juta kwa kuwa shabiki wa yanga.
yanga Imara , simba makopo

Hii ya kipindi cha Pili ndiyo yanga ya kweli,na hata ukiambiwa ilikuwa Uturuki huwezi kusita,wanakipiga utamu.
 
Yondani nje kadi nyekundu,amefanya faulu mbaya,ni kwamba alipigwa kipepsi na huyo mchezaji ambaye yeye amesababuisha amesababisha apewe kadi nyekundu,wakati inapiga faulu akamfuata na kumrukia,na mpira umekwisha Yanga inaibuka Kidume kwa mabao 2-1.
 
Jamani nawashukuruni sana wote ambao tulikuwa humu ndani ya JF mtandao mkubwa na muhimu kuliko yote nchini.tutakutana wakati mwingine.WABHEJASANA.
 
Yondani nje kadi nyekundu,amefanya faulu mbaya,ni kwamba alipigwa kipepsi na huyo mchezaji ambaye yeye amesababuisha amesababisha apewe kadi nyekundu,wakati inapiga faulu akamfuata na kumrukia,na mpira umekwisha Yanga inaibuka Kidume kwa mabao 2-1.

wabheja sana!
 
Congrats Young African for being ahead of
images

Unbeleavable hungry cats who eager longing for fresh meat...poor cats!!!what a mess!!! We will measure the strength of Ibhola Lethu vs Tanzania League
 
Mkuu wabheja nashukuru sana kwa updates
 
Mkuu Anselm nakumbuka kipindi kile Frank Domayo ameitwa kwenye timu ya Taifa ulikuwa unaponda sana, vipi unaweza kukubali sasa kwamba kocha aliona kitu kwa huyu dogo?
Kaka na wewe husahau,ni kweli kabisa wakati ameitwa nilikuwa naona Kocha kama vile amepotea kumbe mimi ndo nilikuwa nimepotea,Dogo anatisha kwakweli.
 
Back
Top Bottom