LIVE:Yanga VS Black Leopard CCM Kirumba

LIVE:Yanga VS Black Leopard CCM Kirumba

Igekuwa mechi ipo uwanja wa Nyamagana ningeenda ku watch. Lakini uwanja wa ccm-mafisadi siendi , maana huo uwanja tumeporwa sisi wananchi hivyo nawasihi wananchi wote tususie michezo yote ktk uwanja huo.
 
Yanga washapiga bao wa2 wewe yanga yanga!

Mkuu watu ni wengi upande wa kulia mwa uwanja ambao wanaaminika kwamba ni mashabiki wa Yanga,lakini upande wa jukwa la simba watu si wengi sana,pia jukwaa kuu kuna watu wengi.
 
Hakuna radio yoyote inayotangaza hii mechi? Bebe wabhejasana hebu tupia hapa kikosi cha Yanga kilichoanza.
 
Hakuna radio yoyote inayotangaza hii mechi? Bebe wabhejasana hebu tupia hapa kikosi cha Yanga kilichoanza.

Mkuu Masuke KISS FM wako hewani.lakini we kaa humuhumu ndani utafaidi.
 
Mkuu unajua mimi hata simuelewi huyu adakiss23,sijui antutafuta nini??!au ndo wivu wenyewe nini?!

huwajui hawa washabiki wa maharage apo ujue wenyewe walienda warabuni kuimba taarabu wanafkiri hatujui wakat tumewastahi tu
 
Mpira kwa sasa umepooza wakuu timu zote zinacheza xaidi katikati.
 
Mkuu watu ni wengi upande wa kulia mwa uwanja ambao wanaaminika kwamba ni mashabiki wa Yanga,lakini upande wa jukwa la simba watu si wengi sana,pia jukwaa kuu kuna watu wengi.
Tucheck game ila leo ni ushindi tu hata kama wamerudisha.
 
huwajui hawa washabiki wa maharage apo ujue wenyewe walienda warabuni kuimba taarabu wanafkiri hatujui wakat tumewastahi tu

Shauri yao mkuu sis tunakula rha tu hapa waache waseme....mwisho watachoka,ngoma ya yanga tunaiendeleza.
 
Kaka umekosea hapo sawa na waislam wa tanzania kutaka susia bidhaa ya mmarekani
Igekuwa mechi ipo uwanja wa Nyamagana ningeenda ku watch. Lakini uwanja wa ccm-mafisadi siendi , maana huo uwanja tumeporwa sisi wananchi hivyo nawasihi wananchi wote tususie michezo yote ktk uwanja huo.
 
Mkuu Masuke KISS FM wako hewani.lakini we kaa humuhumu ndani utafaidi.
Hawa jamaa walikuwa hawajaanza kutangaza lakini naona ndo wameanza sasa hivi, hata kikosi ndo wanatangaza ngoja niwawekea wanayanga wenzako kwa ajili ya kumbukumbu:Ally Mustafa, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub,Kelvin Yondani, Nurdin Bakari, Simon Msuva, Kabange Twite, Said Bahanuzi, Hamis Kiiza na David Luhende.
 
Hawa Chui mweusi wanagusa sana,ingawa mpira kwa sasa unaonekana kama mazoezi vile.
 
Hivi ulistua mbili kweli? maana unavyouhadithia mpira!!!!!! asante kwa kutuhabarisha

Mkuu nilistua mbili ndio maana unaona nafanya hii kazi namna hii,nataka kila anayeingia humu aone kama anautizama mpira LIVE,hii ndio maana ya LIVE ya JF mkuu.
 
Back
Top Bottom