WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Habari Wanabodi?
Tayari nimeingia ndani ya jiji la Mwanza Mchana huu,kwa wale wapenzi wa soka hususani wale mashabiki wa Yanga nitakuwa ndani ya uwanja wa CCM Kirumba Jijini hapa kuwaletea LIVE pambano kati yao na Black Leopard kutoka nchini Afrika Kusini,nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwajuza kila kitu kuanzia majira ya saa 10:30 ambapo pambano litakuwa linaanza.
Kwa sasa niko Villa nadhani watu8,Makoye Matale,na wengineo wengi wale mashabiki wakubwa wa soka wanaihua vizuri hii Villa kwa sababu iko pembezoni mwa Uwanja wa CCM Kirumba.