Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Aah wapi Jery Tegete.....Tege'MagoliHawa jamaa walikuwa hawajaanza kutangaza lakini naona ndo wameanza sasa hivi, hata kikosi ndo wanatangaza ngoja niwawekea wanayanga wenzako kwa ajili ya kumbukumbu:Ally Mustafa, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub,Kelvin Yondani, Nurdin Bakari, Simon Msuva, Kabange Twite, Said Bahanuzi, Hamis Kiiza na David Luhende.